Kweli kabisa...Nimeshasikia baadhi ya makabila wana huo utamaduni sijuhi mila ya kukimbia wakwe. Na ni makabila mengi tu yana huo utamaduni. Ila kwa hapa mjini; wakwe wengi wanakaa kochi moja kwani hatujali mila wala tamaduni.<br />
<br />
Hiyo nasikia iliwekwa ili kuepusha uzinifu kati ya mtu na mkwe wake. Na makabila yale ambayo mila hii walikuwa hawana kabisa kuna kesi nyingi za wababa kuzaa na wakwe zao.