Hii Ni Heshima kwa wakwe Au Nini???

Nimeshasikia baadhi ya makabila wana huo utamaduni sijuhi mila ya kukimbia wakwe. Na ni makabila mengi tu yana huo utamaduni. Ila kwa hapa mjini; wakwe wengi wanakaa kochi moja kwani hatujali mila wala tamaduni.<br />
<br />
Hiyo nasikia iliwekwa ili kuepusha uzinifu kati ya mtu na mkwe wake. Na makabila yale ambayo mila hii walikuwa hawana kabisa kuna kesi nyingi za wababa kuzaa na wakwe zao.
Kweli kabisa...
 
nidhamu ya uonga heshima ni heshima tu hata ukimbia ukikaa yote yanatoka moyo wa sio nje ya mwili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom