Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
........... sie hatuikariri, tunaihifadhi (vifuani mwetu) na tunaielewa ! Elimu ya Dunia tumekuachia wewe, wakufundishe wewe na watoto wako kuwa hapo mwanzo mlikuwa masokwe kabla hamjajua kuvaa suruali, sijui masokwe ya sasa hivi kule Gombe National Park na yenyewe yataanza kuvaa suruali lini ?Hell Yes, Ndy maana watu waliobobea kwenye Quran ni wajuvi sana wa elimu Dunia! hahahahaaa, watoto wako wanasoma shule lakini? Au ndy wanakariri Quran?