Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
- Thread starter
- #61
Maana yake ni, Kwa shani yake Mwenyeezi na azidishe baraka.
Huyo S. Rweyemamu ndio nani?
Bukoba kwetu, unaijuwa Mauwa Guest House? ya Marehem mkwe wangu ile (baba'ke mume wangu, Marehem Abdallah Ngozi) waulize kina Kichwabuta, Marehem Mzee Abdallah Suedi ni watu wangu wa karibu, wananifaham sana.
Ok mama karibu sana Bukoba. Pili pole kwa unayoyasema ya kupoteza mume. Kwetu kijiji ni Ukiwaambia watu naishi Dar au Mkoa fulani maadam ni mbali na kijijini kwenu huambiwa.... msalimie fulani, msalimie na fulani as if wote mko street moja kumbe Dar pekee mnaweza kumaliza miaka 5 hamjaonana, So kwa utamaduni uleule nimesema umsalimie Salva Rweyemamu yeye ni wa kule Gera, huwa tunamuona kwenye taarifa ya habari maeneo ya ikulu huko. We msalimie tu.