Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

Achana na mabamia.......umemuwona muuzaji?

Hahahahahahaaaaaa...tehetehete mwana una matatizo ,... umehamisha kabisaaaaa mada ya misosi, huyo anayeuza bamia ana businness nyingine hapo akula mingo. Huyo inaonekana kama ana tumaji. Ila huwezi jua.
 
39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg

ina maana mie muuza ndizi wangu hujamuona?
 
Hahahahahahaaaaaa...tehetehete mwana una matatizo ,... umehamisha kabisaaaaa mada ya misosi, huyo anayeuza bamia ana businness nyingine hapo akula mingo. Huyo inaonekana kama ana tumaji. Ila huwezi jua.

Nilishamweka sawa kuwa niyanunue mabamia yote kwa 20,000 halafu nimkunjie 15,000 tusepe zetu....ghafla puu mumewe katinga na kapelo lake chafu akaanza na yeye kupanga meza..nikaingia mitini kabla ya kuchukua hata namba ya simu

mbogamboga%2B.JPG
 
DSC00861.JPG

Kwa kweli mie kuhama Bukoba litakuwa janga la Kiukoo. Ukila haya madude ukashushia na amarula unapiga vimaji mpaka unaitwa baba loh!!!!!
 
DSC00892.JPG

Mbali na hiyo misosi, unamuona mhudumu? Hapo ni St. Francis katibia na AIR port Bukoba. Kila kitu ni kitamu kuanzia wahudumu, sijui kwa walaji ikoje
 
Umenikumbusha mengi Ta Muganyizi...nowhere like bkb japo wengi na sana wale ambao hawakuwahi kufika watabisha ila pale ni kila kitu,nakumbuka siku moja nimefika k/koo nikamkuta mchizi anauza 'embile' nikamwambia pesa yangu hupati make hiyo kwetu ni pombe material na huwa hailiwi....alinishangaa sana lakini baadae alinisoma na nikamwambia bnafsi nazijua variety 30 za ndizi na bkb kuna zaidi ya variety 50 za ndizi,alicheka sana kisha tukaagana

Ta Muganyizi wakola waitu inye ndi omumaanga mbali enjara nenaku byasingile,abaikwenja oti mwite zingi tulabonangana omuli disemba
 
Loh! Rweye, pole na pia hongera sana. Kwa kweli ndizi variety hapa ni nyingi nasiku hizi zimeongezeka nyingine kutoka Belgium, zinaitwa mtwishe nyingine phia. Nitakuonesha picha. Kwa sasa Bukoba misosi ni mingi na Tayari tunakula maharage mabichi yaani "ekiiso" aka fresh beans, Senene wenyewe sasa hivi wanaruka kwa fujooo. kwa kweli pole.
 
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.

39344_105745689483699_100001448061501_49246_3902745_n.jpg

39758_105745286150406_100001448061501_49242_5014775_n.jpg

Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,

39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg

Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
40560_105746052816996_100001448061501_49249_3849446_n.jpg

Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.

Naona ulikuwa soko kuu mwenzetu na ulipitia ule mlango mkuu wa ndizi then ukaenda kule mlango wa mchele na kwenda kwenye samaki! lol
Senene toka hapo nje ya geti la mchele pinda kulia utawakuta akina Mohamed Senene! ama kweli Bukoba ni kila kitu
 
Umenikumbusha mengi Ta Muganyizi...nowhere like bkb japo wengi na sana wale ambao hawakuwahi kufika watabisha ila pale ni kila kitu,nakumbuka siku moja nimefika k/koo nikamkuta mchizi anauza 'embile' nikamwambia pesa yangu hupati make hiyo kwetu ni pombe material na huwa hailiwi....alinishangaa sana lakini baadae alinisoma na nikamwambia bnafsi nazijua variety 30 za ndizi na bkb kuna zaidi ya variety 50 za ndizi,alicheka sana kisha tukaagana

Ta Muganyizi wakola waitu inye ndi omumaanga mbali enjara nenaku byasingile,abaikwenja oti mwite zingi tulabonangana omuli disemba
Waiitu onyegele olatushanga tulimu mpola mpola! ondeteleyo enazi
 
Shamba la Migomba iliositawishwa na Mdau maeneo ya Kitwe Wilaya ya Bukoba vijijini

hapa chini ndivyo hali ya senene ilivyo kwa sasa Bukoba

Chini tena hapo tunailisha mwanza . Ndizi kibao zinapakiwa ndani ya Meli ya MV victoria. Ile aliyotuahidi kikwete bado hajanunua

Ukitaka kufaidi mengi kuhusu bukoba bofya hapa Bukoba Bukoba wadau mko juu. Endeleeni hivihivi labda waliopotelea mikoani watarudi
 
Ta Muganyizi wapi
  • kahawa inayoongeza msukumo wa damu ikiwa imefungwa kwenye package yake ya kiasili
  • Senene nao wakiwa ndani ya package yao asilia
  • juice ya ndizi (mulamba)
 
Back
Top Bottom