Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.
Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,
Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.
Jamani hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo, na kesho itakuwa hivi hivi
Wadau wamejaa wananunua senene
Na hii ndo airport yenyewe na hivyo karibuni jamani, kwa vile tunapenda culture hatujapiga lami!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haya mliosema niweke picha za hoteli Bukoba hizo hapo chini , nimetuma link muangalie mambo mengi wenyewe
http://www.walkgard.com/index.htm,
Hapa chini ni Bukoba Kolping Hotel
Hapo chini ni spice beach Motel
Chini Ni Muonekano wa Bukoba Ukiwa Walk Gard Hotel na Kolping