Hii ndo raha ya Bukoba Kagera - Tanzania

DSC_1422.JPG

KAMARADE unaharibu, hapo sio Bukoba hapo ni Ubungo Kabisaaaaaa, hao samaki wakavu ndo maana watu ni waterless. Huku vitu fresh hadi unashangaaa.
 
Huyu ZING yawezekana ameshaanza kunywa Nkonyagi au Kalinya, maana hata mimi simuelewi anayoyasema yameanzia wapi.

Tuendeleee na mabo ya kanyigo kashozi, Maruku. Nshambiya,Gera etc tusipoteze Muelekeo ila sister FF anajua.
BTN Nimemiss sana kuona ile process ya manufacturing of mulamba. Igawa kisasa sasa inaweza konekana ni un-hygiene but ndio culture hiyo ni baadhi ya vitu Ta Muganyizi kama unaweza a tafuta kubukubu zake au video clip ili tuone wazee wa kazi wakiwa ndani ya mato wanakanyaga kanyaga zile ndizi.
hahahah

Alafu kwa nini Ukinunua nyama bukoba unapewa na utumbo. TOfauti na shemu nyingine utumbo ni package tofauti
 
tanzania_mixed.jpg
 
hao senene ndio bites...?...halafu mbona ni wa njano hivyo?....ndio mafuta hayo au?......

Wewe nimekupa ofa uje uone mwenyewe hutaki kuni - pm, hiyo rangi ya njano ndo rangi yake baada ya kukaangwa raha tupu!!!
 
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.

39344_105745689483699_100001448061501_49246_3902745_n.jpg

39758_105745286150406_100001448061501_49242_5014775_n.jpg

Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana maji yanakuwa ya kutosha,

39696_105746346150300_100001448061501_49251_3744631_n.jpg

Ukiongeza na hizi utamu ndo unakolea. maji yae yanatoka yakiwa matamu no salt.
40560_105746052816996_100001448061501_49249_3849446_n.jpg

Ukiongeza na passion hizi za kienyeji water natoka ikiwa na smell nzuri, sasa kilichobaki ngoja nikatafute picha za senene.

Kagera ni moja wapo wa mikoani kumi maskini sana kwa sasa nchini Tanzania.
 
Kagera ni moja wapo wa mikoani kumi maskini sana kwa sasa nchini Tanzania.

Watu wake ndo maskini. Sio kagera yenyewe, hii ni sawa na Tanzania ukiilinganisha na nchi nyingine. Ina kila kitu lakini ni maskini japokuwa sio kiviiiiiiile we unakumbuka ya zamani. Zikiondolewa chato kwenda geita, nyumba za majani na tembe Kagera zitafutika.
 
Back
Top Bottom