Hii kitu kwenye tecno

Mkuu naomba nifafanulie kidogo Ku root ni nini maana sifahamu naona inaongelewaga tuu lakini sijui
Simply ni kua na acces zaid na simu yako...inakufanya ww kufanya chochote ndan ya simu yako,
 
Habari ya Jumapili wakubwa hii kitu hapa chini inawezekana kwenye simu za Tecno notification kuonyesha namba kwenye app husika

051a6d1858f434260bee012f4a359287.jpg
Hii kitu inaitwa Application notification badge,ni feature inayopatikana kwenye iOS ya Apple hivyo kampuni kubwa kama Google hawaruhusiwi kuitumia hii feature kwenye Android kutokana na patent au copyright issues.Ni moja ya feature ambayo naipendaga sana so nlikuja kugundua kuwa baadhi ya OEM'S wa Android ambao wanayo hii feature ni pamoja na Samsung,LG,HTC,Xiaomi,Le eco na makampuni mengi ya China,sijawataja Huawei maana wao ipo lakin n limited kwa native applications like message,dialer,email.Kwa mfano mimi natumia Xiaomi so ipo bila hata ya kutumia third party launcher au ku root simu(sipendag ku root maana huwa napata updates kupitia OTA)mara kwa mara.
cb113cda43a5777420518c32ffed95c6.jpg
5a5005dc268fafa0d1b89545ffbfeded.jpg
43bffb17212d0191a9a0c7c67619e651.jpg
 
Sawa mkuu nimeiona
 
Back
Top Bottom