Msaada X App

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
656
166
Habari,

Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7.

Halafu ni tecno na sasa hivi hii App inahitaji simu yenye android version 8 na kuendelea na uwezo wa kununua simu nyingine sina sasa kwa wajuzi naweza kutumia njia gani ili niweze kuifanyia update (sasisho) hii app!,

Naomba msaada, asante.
 
Download hiyo app kutoka google, tumia sites kama Apkpure au APKmonk then install, hapa sina uhakika ila jaribu uone.
 
Habari,

Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7.

Halafu ni tecno na sasa hivi hii App inahitaji simu yenye android version 8 na kuendelea na uwezo wa kununua simu nyingine sina sasa kwa wajuzi naweza kutumia njia gani ili niweze kuifanyia update (sasisho) hii app!,

Naomba msaada, asante.
Baki nahiyo version iliyopo sio lazima ku update mi natumia android 6 sija update na inafanya kazi vizuri tu
 
Habari,

Mimi ni mtumiaji wa hii App ya X zamani twitter ila inapotokea inahitajika kuifanyia update inashindikana kwasababu simu yangu ni android version 7.

Halafu ni tecno na sasa hivi hii App inahitaji simu yenye android version 8 na kuendelea na uwezo wa kununua simu nyingine sina sasa kwa wajuzi naweza kutumia njia gani ili niweze kuifanyia update (sasisho) hii app!,

Naomba msaada, asante.
Ulinunua iphone 7 , du wabongo bana, me natumia Tecno 19, Android version 13, camera Kali ,Kila kitu kipo poa sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom