Hii kitu kwenye tecno

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,309
942
Habari ya Jumapili wakubwa hii kitu hapa chini inawezekana kwenye simu za Tecno notification kuonyesha namba kwenye app husika

051a6d1858f434260bee012f4a359287.jpg
 
Sio lazima feature ije na simu ,ila kuna apps kibao tu zinafanya notification count,
Hivyo ukitumia app kama tesla inaweza fanya hivyo kweny simu yoyote ya android.
Mimi natumia tesla hapa just una assign tu apps ambazo unataka ziwe included basi.

Screenshot_20161023-144616.png
 
Sio lazima feature ije na simu ,ila kuna apps kibao tu zinafanya notification count,
Hivyo ukitumia app kama tesla inaweza fanya hivyo kweny simu yoyote ya android.
Mimi natumia tesla hapa just una assign tu apps ambazo unataka ziwe included basi.

View attachment 422947
Nitajie jina kamili linavyopatika playstore niitafute mkuu
 
Kaka mkubwa mbona kwangu aitokei au nakosea setting
5b321d31914b30c449a23d89a8875fef.jpg
f0f2f8c3dc6b46369ad09e2e91b5b650.jpg
Nimekupa file mbili ,kuna nova laucher na tesla unread,sasa baada ya hapo ulipo nenda kafungue tesla kisha add apps unazotaka ziwe zinakua counted
 
Nimekupa file mbili ,kuna nova laucher na tesla unread,sasa baada ya hapo ulipo nenda kafungue tesla kisha add apps unazotaka ziwe zinakua counted
Nimeenda hapa lakin naona bado
8966068e0dbe3beed3e46da1bd5b9ae1.jpg
 
Sasa hapo nadhani ndo kuna shida nikiweka on nikitoka halafu nikirudi tena hapo nakuta imejirudisha off
Basi fanya kitu kimoja,tafuta notification setting kweny simu yako,ukipaona basi utakuta tesla na utaiweka on
 
Sio hapo mkuu,fanya hivi nenda Settings > Security > Notifications access kisha angalia kama utakuta tesla
 
Hapo hapo mkuu na make sure unatumia nova launcher as default kisha restart simu af tuone
Mi nadhani kaka kule kwenywe nova launcher ile setting ya Unread count badges ingekubali kukaa on moja kwa moja tatizo lingeisha,shida ukiweka on inakubali muda huo huo ukirudi hapo unakuta imejirudisha off
 
Hiyo ndio shida ,ndo mana nakuulza je nova unaitumia kama default launcher?
 
Back
Top Bottom