Hii familia yetu ikoje? Am confused! mnisaidie

Nami nakuona darling wangu mwaaaah
Nshakustukia mambo yako na Mr Rocky.... ila ndo hivyo cacico kanisihi nisikuache. Hivi unajisikia raha unavyojishebedua na Mr Rocky? Huoni waweza muua mtoto wa watu? Punguza pombe mke wangu............ si maji!

drunk-12398.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa mke mwenzangu umenivunja mbavu..... mr rocky tutamvisha ile miwani ya babu asipoangalia.

asibishe bana ngoja jioni huko kwa babu yenu Asprin hamtapikiwa miguu ya mbuzi na utumbo wa hapa kwa mromboo
ngoja niendelee na maandalizi yangu hapa ya kukaaanga hawa vyuku na wali hapa nione kama jioni Yummy hutakuja kula kwa makaangizo nitakayofanya
 
Last edited by a moderator:
Nshakustukia mambo yako na Mr Rocky.... ila ndo hivyo cacico kanisihi nisikuache. Hivi unajisikia raha unavyojishebedua na Mr Rocky? Huoni waweza muua mtoto wa watu? Punguza pombe mke wangu............ si maji!

drunk-12398.jpg

Mimi na wewe ni kitu kimoja, haina maana..........malizia mwenyewe!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom