Hii familia yetu ikoje? Am confused! mnisaidie

hivi ile "binduki" ​yako umeitupa wapi siku hizi?
mwaJ and Smiling Saint, waliniibiaga nyani ngabu na kongosho. Ila hiyo ya Bigirita si nzuri eeh? Ndo namtongoza anipe walau nipige nayo picha wakati tunaendelea na negotiations
Haa! Kweli eeh? King'asti iko wapi ile bunduki? Irudishe jamani nilikuwa naipenda.

ak47_6.jpg
 
Last edited by a moderator:
Babu umefunga kazi......ila nakuomba kwenye hiyo list yako ya kuwarithisha ukaguzi umtoe Mr Rocky tafadhali sana hafai kabisa yani hana hivyo vigezo,wataishia kumkagua yeye. Si eti sweetlady huyu Mr Rocky atolewe tu aingie kwenye mjukuu yakinifu....lol

Amtoe kabisa manake yeye ni mume wako halali afu Yummy nifafanulie mbona kila siku Asprin anakuita mkewe afu Mr Rocky yuko kimya tu?....hii imekaaje jamani!
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee we nawe cha kumwaga mpunga hadharani......inahuu??? Hebu njoo chemba nikupe mchongo achana na hizi longolongo hapa.

Khaaa unataka kunifunga mdomo eeh?.....haya njoo nakusikiliza:flypig:
 
Heheheeee we nawe cha kumwaga mpunga hadharani......inahuu??? Hebu njoo chemba nikupe mchongo achana na hizi longolongo hapa.

Amtoe kabisa manake yeye ni mume wako halali afu Yummy nifafanulie mbona kila siku Asprin anakuita mkewe afu Mr Rocky yuko kimya tu?....hii imekaaje jamani!

Yummy mwambie sweetlady aache umbeya maana atasutwa
Hapa babu Asprin anahonga wanaokula faida ni wengine ndo maana tunaheshimiana na hakibadiliki kitu Yummy my honey hebu kuja pande hizi nikukague maana naona naweza ambiwa baadae kuwa wewe ni ndugu yangu kwa huu undugu wa platozoom aliotoa hapa Asprin hebu funga macho kidogo hapo juu usisome mpaka nimalize ukaguzi wangu we endelea na BADILI TABIA au cacico au Kongosho au SECRETARY au Catherine au King'asti
 
Last edited by a moderator:
yangu macho tu ...... Mr Rocky utakapojikuta miguu imehamia kwapani usilie...

Khaaa Mr Rocky mie mtetezi wako tena nisutwe??? kweli nimeamini tenda wema nenda zako.....ungejua vile ukiwa haupo Asprin na mkeo Yummy wanavyojiachia lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom