mzee wa noti
New Member
- Mar 3, 2010
- 4
- 0
oya washikaji wa baraza la jamii mambo vipi? nami nimo ktk baraza naomba mnipe sturi ili tuweze kushirikiana ktk kutoa maoni mbalimbali kwa ajiri ya faida ya nchi yetu naamini sturi nimepata poooooooooooooa
ni no. tisa iliyogeuka upside down!Karibu manoti, mradi yasiwe ya Zimbabwe!
Kijiwe wapi jioni???
cheusi mangala lol....mmmh....hiyo ndo namba 6 au 8