Na uhakika maombi yote yaliwafikia kwani mfumo tuliotumia ku-apply wa on-line majina yaliwafikia mapema tu.Hapana, huwa yanarudishwa kwenye address ambayo uliiweka.
Address mbona kazi tena si bora wangetumia E-mail adress zetu.
Hawajamaa sema tu hawako serious!