Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Huyo lazima awe mme wa mtu huyo, hao ndo wanaolipia nyumba ndogo namna hiyo hata hilo gari lazima huyo jamaa atakuwa kanunua yeye. samahi km ntakuwa nimesema vibaya lkn NYUMBA NDOGO nyingi ni watoto wa kichaga saa hivi na ndio wanaoongoza kutembea na VIBABU
phweeeee, hizi research nyingine mnazifanyia chini ya mwembe?