"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

Hey guyz! I've got A boyfriend who really cares for me monetary wise!! The opposite side of the coin is that we have no marriage plans!. The way I look at him I dont see my future with him. Nataka kumuacha lakini nashindwa jamani. Alishawahi kunitamkia wazi, Babu yao aliacha laana kwao mtu yeyote aioe mchagga and he wont go against that! At the age of 24 I really need a serious relationship!! am sorry my Pal if you are reading this! Am not growing any younger!!!
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
duh!
 
Jamani nijuavyo mimi mwanaume akikupenda kiukweli na hata iweje ishu za laana , sijui wazazi zote huwa zinazibiwa masikio. Huyo ANAKUEJOY MY DEAR vIVIAN, UNAWEZA KUTA ANA KITU CHAKE SAAFI ANASUBIRIA MUDA MUAFAKA, BUT IN THE MEAN TIME ANAPATA PA KUPOTEZEA MUDA, PLS STUKA
 
Dah afadhari shemeji umeliona hilo na kumwambia hebu kula senkisi

Yaani fidel no again, I have said no!! Kwenye Heineken nakukaribisha sana!! but Everything has to End there!!
 
Jamani nijuavyo mimi mwanaume akikupenda kiukweli na hata iweje ishu za laana , sijui wazazi zote huwa zinazibiwa masikio. Huyo ANAKUEJOY MY DEAR vIVIAN, UNAWEZA KUTA ANA KITU CHAKE SAAFI ANASUBIRIA MUDA MUAFAKA, BUT IN THE MEAN TIME ANAPATA PA KUPOTEZEA MUDA, PLS STUKA
lakini na yeye walau anakava mambo ya bills
 
Yaani fidel no again, I have said no!! Kwenye Heineken nakukaribisha sana!! but Everything has to End there!!

Powa tu nashukuru huo mualiko wa Heineken sasa wapi utakuwepo Zero pub au wapi?
 
At some point this can work but on the other way round its dangerous for your health, family and life too, you better struggle for yourself,

Yaani Sipo, kama vile uko akilini mwangu kabisa mpwa, hii itamsumbua maisha yake yote, ukikubali kujengewa nyumba na huyu mwanaume itakula kwako, you will never be free to live your life, utaishia kuwa nyumba ndogo, na hata ukipata mtu serious akuoe, jamaa atafanya fujo. dont try this, just struggle, kwani kujenga nyumba utashindwaje binti mdogo hivyo and you have the whole future ahead of you?
 
Jamani nijuavyo mimi mwanaume akikupenda kiukweli na hata iweje ishu za laana , sijui wazazi zote huwa zinazibiwa masikio. Huyo ANAKUEJOY MY DEAR vIVIAN, UNAWEZA KUTA ANA KITU CHAKE SAAFI ANASUBIRIA MUDA MUAFAKA, BUT IN THE MEAN TIME ANAPATA PA KUPOTEZEA MUDA, PLS STUKA

Thanks alot. Thats the reality!! Tatizo la jamaa ni shule I think!!
 
Thanks Nguli. Ukweli pesa sio care!! But Nguli ukweli upo pale pale, Am already a spoilt Child. just look at this break down

DSTV..... 101,000
RENT......250,000
FUEL......150,000
Hizo ndo Gharama za kuonekana, Tukiachana inabidi nibadili nyumba, atleast nipate ya 120,000/month. and no Dstv.
But I have to do it brother.

Vivian, Vivian!
kwanza wewe bado mdogo sana bibie...jitoe kabisa kwenye haya masuala ya mabuzi, yana cost ndugu yangu na moja ya cost yake kubwa ni hii ya kukosa uhuru wa kutoka kwenye relationship kwa uhuru na raha zako any time you want..

nakushauri uachane nae haraka sana kwa sababu nzuri tu ya ku waheshimu mizimu ya ukoo na kuepuka laana, halafu baada ya hapo jipange vizuri, weka ka bejeti kako sawa ndani ya pay slip yako, nyumba unayolipia mwenyewe ina raha mamii hata kama sio ya laki mbili na nusu, usikubali mtu akulipie bili yoyote, halafu utafute aliyetayari kumpenda na kuoa binti wa kichaga
 
amini usiamini, atakuoa wewe kama utataka!

uamuzi wa kukuoa au la unao mwenyewe, bahati mbaya unatazamia kutoolewa wakati unataka kuolewa! kama humpendi ni suala lingine, kama unamtegemea sana nalo ni suala lingine, jaribu kwa positive na sahau kabisa habari ya laana sijui ya babu. kila siku nasema hapa kuwa hakuna mahali popote duniani kuna kitu kinaitwa laan! hakuna, ni imani potofu, wala hakuna mchaga anayeolewa popote duniani, wanolewa "individuals" na kwenye ndoa utakuwepo wewe na si mchaga fulani, ndoa itajengwa au itabomolewa na wewe binafsi na si kabila lako, hata hizo bills unalipiwa wewe na sio mchaga, jaribu kunielewa hapo kwanza, halafu nitaendelea!

jinsi ulivyoeleza kisa chako, ninapungukiwa data kidogo hasa kuwa ni kwa "nini huoni future kwake" ni kwa sababu ya mtindo wake wa maisha?, tayari ana mke? au kishakutamkia kuwa anapoteza mudat tu na wewe na hatakuoa?....... ungenidokeza hapo na msimamo wak binafsi ni nini kama yeye atataka kukuoa, nitakupa ushauri wa kumalizia mwaka, na maishani mwako hutanisahau. kama mambo mengine ni mazito, unaweza kuni pm.
 
nakushauri uachane nae haraka sana kwa sababu nzuri tu ya ku waheshimu mizimu ya ukoo na kuepuka laana, halafu baada ya hapo jipange vizuri, weka ka bejeti kako sawa ndani ya pay slip yako, nyumba unayolipia mwenyewe ina raha mamii hata kama sio ya laki mbili na nusu, usikubali mtu akulipie bili yoyote, halafu utafute aliyetayari kumpenda na kuoa binti wa kichaga
hivi,
kwanin kila mtu anashauri aachane nae?
 
...mostly men........may be personal interest.....or national interest........i dont know..........may be........sometimes yes
kumshauri mtu amuache mpenzi wake SIO SAHIHI!SIO BUSARA!SIO MAADILI!
 
Powa tu nashukuru huo mualiko wa Heineken sasa wapi utakuwepo Zero pub au wapi?

Hii billionaires club! you know it. I hope utakua na my bro xspin, Nguli, Geof, Sipo, and others. Karibuni sana it can be a very good geti tugeza
 
Vivian, Vivian!
kwanza wewe bado mdogo sana bibie...jitoe kabisa kwenye haya masuala ya mabuzi, yana cost ndugu yangu na moja ya cost yake kubwa ni hii ya kukosa uhuru wa kutoka kwenye relationship kwa uhuru na raha zako any time you want..

nakushauri uachane nae haraka sana kwa sababu nzuri tu ya ku waheshimu mizimu ya ukoo na kuepuka laana, halafu baada ya hapo jipange vizuri, weka ka bejeti kako sawa ndani ya pay slip yako, nyumba unayolipia mwenyewe ina raha mamii hata kama sio ya laki mbili na nusu, usikubali mtu akulipie bili yoyote, halafu utafute aliyetayari kumpenda na kuoa binti wa kichaga
Thanks Triplets. Kula tano hapo kwenye color.Kwa kweli she is very young to be anyone prisoner for money. Halafu, huyo jamaa anadharau, kwani kama babu yake aliuwa hapendi wachaga na alimkataza akaridhia ilikuwaje akamfata vivi wetu in the first place. Aache dharau akaoe kijijini kwao basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom