Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,139
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
@mwaJ Pole sana Mwaj :israel:Najuuta kuingia humu leo!
@mama D yaani sisi Wabongo tunapenda kila kitu kuiga ahhh wacha wee Mama D....... Tutaiga visivyoigwa jamani.............lazima atakua m bongo huyo maana kwa kuiga maujinga hatujambo!
hao wala vyura kwa nyama za kutosha hakuna jamani
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
@Young_Master yupo nje huyo anajaribu kula Vyakula kwenye Mahoteli ya Wachina hahaahahah kaniharibia siku yangu ya leo huyu.... nashindwa hata kula usiku.Khaaaaaa!!! MziziMkavu umemfuma wapi huyu jamaa?
Na huyu maisha yamemshinda kaona bora afe kasheshe kweli dunia yetu hii
@Young_Master yupo nje huyo anajaribu kula Vyakula kwenye Mahoteli ya Wachina hahaahahah kaniharibia siku yangu ya leo huyu.... nashindwa hata kula usiku.
hivi ni macho yangu yanaona hivi au siku hizi macho yangu yamegeuka kuwa ni vidonda? Huyu jamaa si kajinyonga na chandarua? Kumbe chandarua badala ya kukukinga kinaweza kukuondoa pia duniani eeh?
@Young_Master Chandaruwa kinaweza pia kukuwa ikiwa utakitumia kwa nia ingine zaidi ya kukinga na Mbu.hivi ni macho yangu yanaona hivi au siku hizi macho yangu yamegeuka kuwa ni vidonda? Huyu jamaa si kajinyonga na chandarua? Kumbe chandarua badala ya kukukinga kinaweza kukuondoa pia duniani eeh?
Na huyu maisha yamemshinda kaona bora afe kasheshe kweli dunia yetu hii
Jumatatu Asubuhi utubandikie na ya mtu wa yangaHahahaha! Man u,mpaka mmeamua kujinyonga? Teh! Teh! Teh! Inaelekea mwaka huu ushindi mgumu. Ni man city ndo inaleta matatzo kama haya ama?
aaaaaghhhhhhh...yaani imenikuta LIVE na plate ya fruits
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Wandugu aaaaaaah... Hiyo mbona Namibia kitu cha kawaida especialy kaskazini kwa Nujoma wauza barabani tu mishikaki....hahahahaaaa tembea uone!????Khaaaaaa!!! MziziMkavu umemfuma wapi huyu jamaa?
Na huyu maisha yamemshinda kaona bora afe kasheshe kweli dunia yetu hii