Haya tena watu weusi kwa kuiga? Wanajifanya wachina kula chura kazi ipo

530114_446379682055492_100000503913445_1672005_220947815_n.jpg


mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Yack!!!!!!!!!!!!!
 
MziziMkavu..
huyu kweli ni njaa tu .. sidhani kama anaiga..

si kwamba anaiga tembeeni muone...Francofone countries wanakula vitu visivyoliwa huku kwetu. Nenda DRC, Congo Brazaville, Gabon, Camerroon....kula chura, paka, konokono wa nchi kavu, nyani, ngedere, tumbili, mbwa, ni kitu cha kawaida. Huyu wala hajaiga chochote ni tradition yake ni sawa na makabila ya nyanda za juu kusini magharibina kusini mwa tz wanaokula/waliokuwa wakila panya....
 
Tatizo ni kutojua nini maana ya mila na desturi. Mila (culture) inahusu hata vyakula vya makabila yetu. Kuna kabila wanakula nyani, jongoo, mbwa, nguruwe, chura, panya, mende , senene n.k. Wanafurahia kama wewe unayekula mbuzi, kuku , ngombe. Hatuna sababu ya kuwahukumu watu kwa mtizamo wa mila zetu. (ethnocentric) acheni wale wanachotaka si watu kama nyie mbona hawafi? Usichokula haimanishi mwingine asile.
 
Back
Top Bottom