Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 352
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Uku niliko wanakula kila kitu naona..
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Na huyu maisha yamemshinda kaona bora afe kasheshe kweli dunia yetu hii
Mkuu@FirstLady1 Samahani kwa kukuharibia siku yako sikutegemea kama itakuwa hivyo nakuomba unisamehe.MziziMkavu umeniharibia siku yangu aaaaghhhhhhhhhh
Hii kitu sio kuiga, hii mie nilienda Dodoma vijiji njia ya kwenda Mtera nimekuta wanakula hii kitu live. Ni kahoji inakuwaje wakase wao wagogo huwa wanatumia ni kawaida, nikakutana na mwingi kawatundika kwenye waya ndio katoka kuwakamata anapeleka kitoweo home.
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Yaani nimetoka kula, ndo nikafungua hii nusu nitapike. Hivi naangaka kutafuta bitter lemon nipunguze kichefuchefu.
The Pen Samaki mchnga yupi tena? hebu sema wazi wazi usifiche kitu mkuu. Vipi Young_Master umefanikiwa kupata Code ya simu yangu?Mmmh! Mtu ambaye kila kitu kwake ni halali, ni mtu hatari sana kwa sababu haitaishia ktk kula tu.
MziziMkavu, lkn tunao jamaa hawa jamaa zetu wanaokula "samaki nchanga". uke:
Kweli inatia kinyaa sana.Yaani nimetoka kula, ndo nikafungua hii nusu nitapike. Hivi naangaka kutafuta bitter lemon nipunguze kichefuchefu.
@MZALENDO MKUU Kwa hiyo na wewe ulikula hao konokono? Hebu tuambie ladha yake hao konokono mkuu?Tulienda Abuja Nigeria. Kule usipokula KONOKONO unaonekana ni mgeni.
Mbona hata mimi nakulaga hiyo kitu wakuu?tena mm nakula mpaka "MENDE,CHURA,JONGOO,KINYONGA,KONOKONO,VUNJA JUNGU,KOBE,CHATU,KENGE.sasa nyie mnashangaa hii "ndafu"ya jumping frog kha!
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Khaaaaaa!!! MziziMkavu umemfuma wapi huyu jamaa?
mmmmmmhhh natamani kutapika kaniharibia siku yangu huyu bwana mdogo ohhhhhhhhhhhhhh
Umevuta "BANGE"la wapi?au umetoroka milembe?Mbona hata mimi nakulaga hiyo kitu wakuu?tena mm nakula mpaka "MENDE,CHURA,JONGOO,KINYONGA,KONOKONO,VUNJA JUNGU,KOBE,CHATU,KENGE.sasa nyie mnashangaa hii "ndafu"ya jumping frog kha!