Haya ndiyo yatakayoiua CHADEMA

Hivi kila Mwenyekiti wa Chama lazima awanie urais? CHADEMA bado ni chama kichanga wapewe muda wa kusukumana na itafika mahali watajifunza kutokana na makosa yao, watakomaa, watatulia na wataweza kuimarika. Hatua waliyofikia sio ndogo. Tuwatie moyo kwa hatua wanazochukua dhiti ya wakorofi badala ya kuwalaumu. Hata shuleni wakorofi waliokithiri hufukuzwa shule!

Tatizo siyo kuna mtu anataka wakorofi waiharibu CHADEMA bali tatizo letu ni nyezo (KATIBA) inayotumika kutambua wakorofi. kwanza mimi nashangaa sana kwa jambo la Kina Kafulila kukuzwa kama vile kuna watu wanakula njama dhidi yao au dhidi ya Zitto. Ukweli ni kwamba KATIBA inaruhusu Katibu wa chama kubadili wakurugenzi na Sekeretarieti yake. Lakini kina kafulila wametumia mbinu ya Pre- empty dhidi ya Dr. Slaa!!
 
Waulize watu wa baraza la mtihani wakupe habari ya nani anafanya vizuri kwenye mitihani ya form four na form six.

Watakuanzia na kitu kama St. ..........

Mnajuana lakini au ndiyo hisia zenu zinawapelekesha.......?
 
Waulize watu wa baraza la mtihani wakupe habari ya nani anafanya vizuri kwenye mitihani ya form four na form six.

Watakuanzia na kitu kama St. ..........
WAtakupa na PhD zao huko st..what? who cares wakati mnakuwa wezi tu na akili ndogo kama ...
 
Kama unapenda Chadema na unataka kishinde, kichangie Tsh 350 kwa kutumia simu yako ya mkononi. Tuma sms
"CHADEMA" kwenda No. 15710.

Vijana wabunifu hawa. Wasaidie. Tuma leo.
 
wazo lao ni zuri lakini halifanyi kazi bado. watu kibao waliohamasishwa kujiunga kwenye mtandao huo wanalalamika kwamba hakuna majibu baada ya kuletewa majibu ya kwanza baada ya kutuma meseji. Lakini wanapoijibu meseji hiyo ili wajiunge ndipo hakuna majibu.

kama kuna mtu unamjua kwenye chadema mjulishe kwamba mfumo wao una matatizo!!
 
Kama unapenda Chadema na unataka kishinde, kichangie Tsh 350 kwa kutumia simu yako ya mkononi. Tuma sms
"CHADEMA" kwenda No. 15710.

Vijana wabunifu hawa. Wasaidie. Tuma leo.

Kwi kwi kwi kwi kwi
bado hakijaeleweka tu
 
CHADEMA ilikufa pale utawala wa wa juu ulipomzuia Zitto kabwe asigombee kuwa mwenyekiti wao

umesahau pia kuna UKABILA wa hali ya juu kwenye utawala wao

bila kusahau allegations kuwa chama kina sura ya KIFAMILIA au kwa maneno mengine kinaonekana kama pet ya family ya EDWIN MTEI na FREEMAN MBOWE

Its sad walivyomfanyia Zitto simply kwa kutazama undugu badala ya maslahi ya chama

Hilo la USOMI habu tupumzishe kwani tunajua fika kuwa CHADEMA na washabiki wao na hasa waliopo humu JF hawapendi kulizungumzia hilo...kama kipimo chako cha USOMI ni JJ MNYIKA then you need to back to the drawing board...what did you seriously expect kwenye chama ambacho mwenyekiti wake anatuhumiwa kuwa amefukuzwa chuo kikuu baada ya kufeli masomo?

kwa nini Freeman Mbowe hataki kuita press conference na kuaddress hizi issue yake ya shule once and for all?

anaficha nini?

Halafu the so called WAPIGANAJI wanakuja humu kutaka ku-justify huu ujinga wa kutetea FREEMAN kufukuzwa/kutomaliza chuo kikuu

Hiyo katiba yao uliyoizungumzia iko shallow sana especially kwa chama kinachojiita chama mbadala wa CCM au chama ambacho kitachukua nchi in 2010!

lakini stay tuned kuona watakavyokuja humu kutetea visivyoteteeka

counting...1

Hapa wamekukuna sana kaka . Trust me Chadema inapambana na wao kama watu na Chama kinacho kuwa hayakosekani mambo ya kukwazana . Hebu wacha tuangalie wanayakabili vipi ila sala yako hii naona haina mwelekeo Chadema ipo tu
 
CHADEMA ilikufa pale utawala wa wa juu ulipomzuia Zitto kabwe asigombee kuwa mwenyekiti wao

umesahau pia kuna UKABILA wa hali ya juu kwenye utawala wao

bila kusahau allegations kuwa chama kina sura ya KIFAMILIA au kwa maneno mengine kinaonekana kama pet ya family ya EDWIN MTEI na FREEMAN MBOWE

Its sad walivyomfanyia Zitto simply kwa kutazama undugu badala ya maslahi ya chama

Hilo la USOMI habu tupumzishe kwani tunajua fika kuwa CHADEMA na washabiki wao na hasa waliopo humu JF hawapendi kulizungumzia hilo...kama kipimo chako cha USOMI ni JJ MNYIKA then you need to back to the drawing board...what did you seriously expect kwenye chama ambacho mwenyekiti wake anatuhumiwa kuwa amefukuzwa chuo kikuu baada ya kufeli masomo?

kwa nini Freeman Mbowe hataki kuita press conference na kuaddress hizi issue yake ya shule once and for all?

anaficha nini?

Halafu the so called WAPIGANAJI wanakuja humu kutaka ku-justify huu ujinga wa kutetea FREEMAN kufukuzwa/kutomaliza chuo kikuu

Hiyo katiba yao uliyoizungumzia iko shallow sana especially kwa chama kinachojiita chama mbadala wa CCM au chama ambacho kitachukua nchi in 2010!

lakini stay tuned kuona watakavyokuja humu kutetea visivyoteteeka

counting...1

GT ama mwingine yeyote hapa naomba unipe ufanunuzi wa Chadema kuwa chama cha Kikabila na mali ya familia elezea tuelewe maana tusije kuwa tunakukatakia bure kaka
 
Rostam Azizi alisoma shule gani vile? Mweka hazina wa CCM hapo nyuma give us his academic credentials GT!!!!!!!!!
Nadhani hoja iliyoletwa na muanzisha thread ilikuwa na nia ya kuwaonyesha CHADEMA wapi wanauchafu, sasa Msanilo naona unatoka nje ya topic, kama unaona hayo matatu sio hoja za maana za kuiua CHADEMA basi weka point zako hapo, maana hii Elimu ya RA iwepo isiwepo haitaisaidia CHADEMA. Hii thread inaangalia matatizo ya msingi yanayoikabili CHADEMA
 
Kitu pekee kinachoimaliza CHADEMA ni UCHAGA-chini ya MBOWE.....hakuna kingine....we jamaa alichana maazimio ya kikao kuhusu mapendekezo ya viti maalumu akapeleka yake, kisha akamsukuma Slaa akatetee kikao kilichofuata....kidogo wamtimue, mbowe akaingilia kuomba radhi....NA HUU NDIO UDHAIFU WA SLAA....yani mbowe anamharibia kweli huyu mzee.....mbowe hana future kisiasa...anapofanya maamuzi ya kijinga afu anamsukuma mzee huyu kutekeleza na kulinda anamfanya aaonekane mbabe na asiye na akili wakati hana kosa....Asikudanganye mtu kwamba CHADEMA kuna kuwajibishana...kuwajibishana kupo kwa wanaopinga ajenda ya uchagga ndani ya chama...kama ingekuwa ni kuwajibishana siku nyingi mkurugenzi wa fedha(Anthony Komu) na Mbowe wangekuwa jela kwani ni wao wanao amua pesa itumikaje, slaa anasaini tu mzee wa watu...wachaga wanafanya biashara...Nakumbuka mwezi desemba2008, mbowe alichukua milioni35,akasaini yeye na komu tu....unakumbuka hiki kilikuwa kipindi cha uchaguzi wa mbeya vijijini....wakamchkua mgombea shitambala na kumpa majukumu ya kufuatilia mabango ya picha zake dar es salaam, wakabaki na fomu, hawakupeleka mahakamani...mpaka anarudi siku ya mwisho kutoka dar es saala, anamfuata hakimu usimu,,,akagoma kusaini fomu....wakashambuliana na akina john mrema, john mnyika na benson kigaila kwamba kwanini wamechelewesha fomu...ikabidi mgombea asaini mwenyewe kwakuwa ni wakili...ambayo ni kinyume na sheria ya uchaguzi....akagonga mwamba....ZItto akasema lazima wawajibishwe...lakini wapi, mpaka leo. HAWA HAWAKUWAJIBISHWA KWAKUWA NI WALIJUA LAZIMA WAJAKIKISHE FOMU HAIFIKI MAHAKAMANI ILI CHADEMA ISISHIRIKI UCHAGUZI KWAKUWA INGESHIRIKI UNGEKUJA MJADALA WA FEDHA ZIKO WAPI.....WAJUMBE WASINGEELEWA KUAMBIWA RUZUKU YA MWEZI DESEMBA HAKUNA PESA ZA KUCHANGIA UCHAGUZI.....huku ndiko kuwajibishana ndani ya CHADEMA....NDIO MAANA NAWAMBIA TATIZO LA CHADEMA NI MBOWE
 
Wachaga walikufanyia nini mkuu?
 
Wote mtasema sababu ya kumalizika kwa CHADEMA, ila huyu ndio katoboa. Mimi niliyaeleza haya huko nyuma lakini wengi walifumba macho. Sina lolongo jingi, nitaandika kwa kifupi mambo yanayoimaliza CHADEMA.

1. Ukabila

2.Usiri wa ajenda zake

3.Mwenyekiti DJ (asiyejua kitu zaidi ya kukalia kiti)

4.Kudhani kwamba suluhisho la matatizo ya watanzania ni kuing'oa CCM tu madarakani. Na hivyo kujihusisha sana na matatizo ya CCM kuliko yale ya wananchi.

5. Kudhani kwamba watanzania (wapiga kura) wote ni wajinga.

6.Kujipandisha chati zaidi kuliko hali halisi ya uwezo wa CHAMA chenyewe, kisiasa, kiuchumi, ki-idiolojia na uthibiti wa demokrasia ndani ya chama.

Hayo ndio mambo yanayoiua CHADEMA. Practically CHADEMA imeshakufa, ila kinadharia bado iko hai sana.
 
Zawadi Ngoda,
Ikiwa Mbowe alikuwa DJ, na mwenyekiti mwingine akiwa askari akiyarudi mayenu ya Mbowe kuna ubora gani kwa huyo mwenyekiti mwingine!
 
Back
Top Bottom