Haya ndiyo yatakayoiua CHADEMA

Nampa hongera aliyeuona pia ukabila kwenye chadema, ni kweli hata mie naona ukabila uko juu, naweza kuona labda ndo maana walikosana na marehemu chacha wangwe. I still don give a single trust to guys like mbowe to lead this country. We would rather clean CCM n go on than choosing unstable party like chadema.

Let's talk about d truth n not to defend them just bse we might b one of their members.
 
Rostam Azizi alisoma shule gani vile? Mweka hazina wa CCM hapo nyuma give us his academic credentials GT!!!!!!!!!

GT hawezi kabisa kuongelea issue ya elimu ya Rostam kwa sababu kubwa mbili.

1. Atakuwa anachezea kitumbua chake
2. Elimu ya Rostam ikijadiliwa, uraia wake wa utata nao utakuja kwenye light
 
Nampa hongera aliyeuona pia ukabila kwenye chadema, ni kweli hata mie naona ukabila uko juu, naweza kuona labda ndo maana walikosana na marehemu chacha wangwe. I still don give a single trust to guys like mbowe to lead this country. We would rather clean CCM n go on than choosing unstable party like chadema.

Let's talk about d truth n not to defend them just bse we might b one of their members.

Nimependa hii ya kutoka swa kwenda ng moja kwa moja.
 
Nampa hongera aliyeuona pia ukabila kwenye chadema, ni kweli hata mie naona ukabila uko juu, naweza kuona labda ndo maana walikosana na marehemu chacha wangwe. I still don give a single trust to guys like mbowe to lead this country. We would rather clean CCM n go on than choosing unstable party like chadema.

Let's talk about d truth n not to defend them just bse we might b one of their members.
Mamanalia,
Unfortunately CCM haisafishiki. Kusubiri CCM kiwe safi ni kama fisi anasubiri mkono wa binadamu uanguke ili autafune.
 
Kigarama

, na sasa kila jimbo Tanzania linawakilishwa Mkutano mkuu na Wilaya zote zinawakilishwa kwenye Baraza Kuu la chama.

Asha
Hata Hard Copy Ya hiyo katiba ninayo. Hoja yangu ni kwamba kupeleka madaraka kwenye ngazi ya msingi wakati ngazi ya Mkoa haina madaraka ya hata kuzisimamia wilaya zilizoko kwenye mkoa ni Jambo jema?? Unajua kwa mujibu wa katiba hiyo makao makuu yanatakiwa kuwasiliana na wilaya bila ya kuujulisha mkoa?

Inakuwaje Katibu wa Mkoa asiwe mjumbe wa kikao chochote cha kitaifa? hata hao wenyeviti wa mikoa wameingizwa kwa mbinde na si kwa hiyari ya walioisanifu katiba ya CHADEMA.

Ngazi ya mkoa ina vikao gani vya maana vinavyoweza kukijenga chama zaidi ya kikao cha mashauriano??
 
Though sikubaliani na wewe na point namba 2. Labda ufafanue usomi kwako una maana gani??
kwangu usomi ni kitendo cha kujifunza maarifa ya wengine na kuthibitishwa na jamii ya wasomi wengine kwamba umefuzu kuyasoma hayo maarifa ya wengine.

kwangu mimi kuna tofauti kubwa sana kati ya usomi na elimu. mtu akisoma kwa miaka mitatu chuo kikuu kwa kukariri na kufaulu mitahani yake ni msomi kwa sababu anayo shahada ya kuthibitisha kwamba ni msomi.Lakini siyo lazima kila msomi awe ni mtu mwenye elimu!!!

Mwalimu Nyerere alikuwa msomi mwanasiasa,Kwame Nkrumah,Keneth Kaunda na wengineo.Lakini Daudi Balali alikuwa ni Msomi lakini si mwanasiasa. hapo ndiyo tatizo la CHADEMA lilipo, wana wasomi lakini wengi wao siyo wanasiasa na inavyoonekana kwamba elimu yao kuhusu jinsi ya kuendesha siasa ni ndogo.
 
Uboko haramu utakumaliza wewe.
Haijengi chama chako..hata kidogo..wala haibadili kitu..Chadema ni wakabila na wanaelekea kuendekeza "ukatoliki"..sasa wao wachague waendelea kubisha au warekebishe..so it is up to them..
 
nne - udini(ukatoliki)
tano - ukabila (chagga)

Ki ungwana kabisa hayo mambo uliyoyataja ya Udini na Ukabila hayapo kabisa CHADEMA, bali ni Propaganda za wapinzani wao CCM (na CUF?) dhidi yao. Kwani CHADEMA ina viongozi wangapi ngazi ya taifa na wangapi ni wachaga na wangapi ni wakatoliki?

Hivi Kamati kuu na Halmashauri Kuu ya CCM ina waislamu wangapi, nacho tukiite chama cha waislamu na chama cha watu wa pwani?
 
Haijengi chama chako..hata kidogo..wala haibadili kitu..Chadema ni wakabila na wanaelekea kuendekeza "ukatoliki"..sasa wao wachague waendelea kubisha au warekebishe..so it is up to them..

Tumaini anaendelea...kule nyuma ya jengo la madrasa

"Na kisha wanasomesha watoto wao kwenye shule za kikatoliki na kuhakikisha kuwa wanakwenda mpaka chuo kikuu. Sisi maboko haramu tunabaki nyuma tu kila siku ... haya yote ni makosa ya mkatoliki nyerere na ... na ... na ... wale kina nani wale ...

Wewe Ohsamdan, hivi ni kina nani wale waliwafukuza waarabu?

---Ohsamdan -- walikuwa wajerumani na waingereza (wakatoliki tu)..

Tumain -- ndio, wajeremani walifukuza waarabu.

Sasa ni zamu yetu kuwafukuza nyie wakatoliki ...

Ahhstafhgfurahiliamindahn....."
 
Tumaini anaendelea...

Huko mnakokwenda kuna baridi jamani rudini chumbani tujadiliane hatima yetu na ya watoto wetu, hizo dini sehemu ya tatizo letu linanalotutenganisha. La msingi katiba ya CHADEMA ina matatizo!!
 
Huko mnakokwenda kuna baridi jamani rudini chumbani tujadiliane hatima yetu na ya watoto wetu, hizo dini sehemu ya tatizo letu linanalotutenganisha. La msingi katiba ya CHADEMA ina matatizo!!

Kigarama,

wewe endeleza mambo yako yale unayoyaona kuwa ni ya msingi mkuu. mimi niachie hawa maboko haramu.
 
I am just proving the point behind the scene...ukabila na udini ..unaendelea kujidhihirisha safi sana go ahead..lol

Tumaini anaendelea baada ya kurudi ndani,

Jamani tuliishia wapi?

Mimi nashauri sasa tuanze kuwaandama chadema kuwa ni chama cha wakatoliki, nyie mnaonaje?

Watoto wote wanashangilia .... ndioooooooooo
 
Mwafrika,
ww ni lord resistance army kawafuate kina John garang msilete fujo zenu hapa bongo balaa mkubwa
 
kwa hiyo unaona sawa kwa mwenyekiti wao kutokuwa open na maendeleo yake ya kimasomo?

kama anaficha simple issues kama shule what makes you think atakuwa open akishakuwa rais wetu?

its time CHADEMA face the fact kuwa haya mambo ya kufika ugonjwa yatakifanya hiki chama ki ji self destruct

Hivi kila Mwenyekiti wa Chama lazima awanie urais? CHADEMA bado ni chama kichanga wapewe muda wa kusukumana na itafika mahali watajifunza kutokana na makosa yao, watakomaa, watatulia na wataweza kuimarika. Hatua waliyofikia sio ndogo. Tuwatie moyo kwa hatua wanazochukua dhiti ya wakorofi badala ya kuwalaumu. Hata shuleni wakorofi waliokithiri hufukuzwa shule!
 
Mwafrika,
ww ni lord resistance army kawafuate kina John garang msilete fujo zenu hapa bongo balaa mkubwa

Watoto wanakimbia kuja mbele na kuanza kupiga makelele yasiyoeleweka, Tumain na Ohsamdan wanajaribu kuwatuliza watoto..

Acheni makelele basi

Tulieni mjipange vizuri la sivyo mtazidiwa na wakatoliki. Ni zamu ya nani leo kuitisha majini?

Mtoto mmoja anaruka na kutafuta shuka jeupe huku akiita mizimu ya John Garang .... john garang , garang, garang ... ohkohkhohkho, garang!!!
 
Back
Top Bottom