Madhara ya kutosoma na kutambua wajibu wao kama raia wa nchi. Sheria inasema ardhi ni mali ya serikali na rais ni mdhamini mkuu,hivyo matumizi yake yanaweza kubadilishwa wakati wowote,after all wanaogaiwa ardhi hiyo ni watanzania wenzao kama huo si upumbavu ni nini? wanawaza ng'ombe tu badala ya kuuza wakawa matajiri na kubaki na mifugo michache wamekalia ujinga wacha wanyang'anywe.
nafuu ya hao ni weengi wanalinda ardhi yao !! na sumaye je ekari 6000 morogoro na mkapa ekari 600 morogoro na huko Tanga wananchi wanalia hawana pamkulima mbona wao wasiligawe hilo eneo???Na hiyo mikuki yao sidhani kama wataweza mudu AK47 zikiingia. Hawa jamaa wana utani mmbaya hekari 6000 warande tu na n'gombe.
Wana haki ya kuendendekeza mila zao za ajabu lakini not to the tune of 6000 acres. Hila sio ardhi tena akapewe muarabu kama ni hivyo bora waichezee tu hawa wazawa.
acheni uoneze bwna