Hawa watu wananivutia sana

Nyamayao, Roya Roy, Asprin, hebu rudini kwenye topic inahusu nini...maana naona siwaelewi

Mbona wataka kumlazimisha Mwenyekiti asome maandihi kinyume nyume?

katibu niletee faili la bacha tafadhali.......manake jana nilikuwa naye maeneo

Nimefarijika kumwona BhT anachungulia chungulia walau..sijui ndo katoka maternity?

Bora uwaambie mwenyekiti.....
 
Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members

THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY
hata smimi umenivutia sana... umechagua kilicho chema, ungekuja na mumsifia MS hapa sijui ingekuaje
 
Nyamayao, Roya Roy, Asprin, hebu rudini kwenye topic inahusu nini...maana naona siwaelewi

Mbona wataka kumlazimisha Mwenyekiti asome maandihi kinyume nyume?

katibu niletee faili la bacha tafadhali.......manake jana nilikuwa naye maeneo

Nimefarijika kumwona BhT anachungulia chungulia walau..sijui ndo katoka maternity?

cku hizi ndivyo unavyoniita hivyo, au mapenzi ndio yameisha tena.
 
Kwa hiyo mmekonkludi nini sasa? Kwamba Danity ndio bht au bacha?
 
cku hizi ndivyo unavyoniita hivyo, au mapenzi ndio yameisha tena.

nimepaniki kidogo Mrs Luv wangu Nyamayao kipenzi, haya hebu niambie kuna nini kati ta bacha na bht na St Roya Roy?:tonguez::A S-rose:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom