Hawa watu wananivutia sana

Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members

THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY
Eeee...,naona unavutiwa na majina mepesi kuyaandika na kuyatamka...ahahahaaa! Karibu jukwaani.
 
kaka mbona hukuitendea haki rule Number 3 mkuu?

Mkuu hapo tatizo liko kwa Kaizer....unajua rule 3 pia inataka watu ambao ni shapu wa kusoma nyakati...karibu mkuu (kumbuka rule 3 haikufuati unaifuata)..:fish2::fish2::fish2:
 
KakaKiiza, Mi naomba favor 1,
Hiyo avatar yako itanifanya nizikimbie post zako wakati naelimika sana kupitia kwako....................... Please!

KakaKiiza thanx kwa kuiondoa ile avatar, maana kwa kusema kweli nilikuwa naiogopa sana........... thanx again
 
Hivi mnapenda majina au watu wenyewe? maana sijaona Chamtu-mimi nikapendwa hapa ndani. Jina ndo linawafanya mniogope??? Anyway, heri mimi sijapendwa .
 
Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members

THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY

hapa umemsahau ACID yale mashairi sijui alijifunzia wapi huwa ananifurahisha kweli
 
hahahahahhaa kaziii kweli kweli.... sometimes i real miss this place.........
 
Hivi mnapenda majina au watu wenyewe? maana sijaona Chamtu-mimi nikapendwa hapa ndani. Jina ndo linawafanya mniogope??? Anyway, heri mimi sijapendwa .
dah, mkuu unapotea sana siku hizi... sio fresh mazee

ah, chamtu-maviiiiiiiii:A S 13:
 
Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members

THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY

Unaweza kukuta ni akina Mama Salma Kikwete, Shimbo, Membe, Line Manager wako, Lecturer wako, baba yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom