Hawa watu wananivutia sana

Naomba kuuliza hivi SMILES na BEAUTY ni mapacha na hapa JAMII FORUMS?
 
Kama wewe ni mwanaume, First Lady mwondoe kabisa kwenye list yako na usithubutu kumtaja tena. Watu wataku-pm sasa hivi halafu mkwara utakaoupata patakuwa hapatoshi. Hata hivyo usiwajali sana hawana lolote yeye mwenyewe keshawatangazia ukumbi mzima kwamba ni mke wa mtu, na kweli atakuwa hadanganyi sababu anaonekana ni mshauri mzuri sana hasa kwenye maswala ya migogoro ya wanandoa!

E=mcsquared mwenzangu kuna lililokukuta ambalo sijaling'amua :couch2:
 
Nyamayao habari za asubuhi:doh::doh: samahani habari za mchana unajua huku kinondoni hii:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:sijui wamenichanganyia na mashudu ya nini

haaa yaani umenikumbusha njoro vibaya sana...kwema kipenzi.
 
Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members

THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY

Karibu mwaya tuko busy na kampeni sasa nadhani tutasaidiana kumpata kiongozi mwadilifu .
 
haaa yaani umenikumbusha njoro vibaya sana...kwema kipenzi.

Kwema niko kinondoni na Teamo tuna:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:ila ndugu yangu Teamo nahisi watamuibia wallet maana hali yake imeishaanza kubadilika
 
Dah Kaka maisha yako yalikuwa mikononi mwake sipati picha kwenye knockout phase ila najua kati ya BEAUTY NA SMILES mmojawapo ange cover nafasi yako sababu hawa ni wataalamu wa kupiga HOTBOX wao huwa wanapiga wakiwa kwenye gari huku vioo vyote vimepandishwa bila hata ya kuwasha AC
Daah jamani watu waonevu humu ndani..Danity naona unajiaonea mwenyewe!
 
akitaja jina FL anapewa kizunguzungu kwa lazima...lol, yani kuna visa humu ndani jamani...na atakuwa ni Asprin tu huyo.

hahahahaha yaani Nyamayao kijana kaniacha hoi kaongea kwa upole jamani
Kama si Asprin basi atakuwa Teamo huyu na si bure watakuwa tayari walikuwa pombe tu na ngoma za alaji alaji ziko kichwani
 
Vipi ulikuwa unaivuta kwa mtindo upi? Naona ndio maana huko upstairs kwako hakujakaa sawa!

ukimaanisha mie mentor? wote mie na wewe tumetumia sana hii kitu ndio mana kila mmoja wetu anamuona mwenzie hamnazo, ucjifanye umesahau kjjn.
 
Kwema niko kinondoni na Teamo tuna:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:ila ndugu yangu Teamo nahisi watamuibia wallet maana hali yake imeishaanza kubadilika

Kwani sigara inalewesha ?
 
hahahahaha yaani Nyamayao kijana kaniacha hoi kaongea kwa upole jamani
Kama si Asprin basi atakuwa Teamo huyu na si bure watakuwa tayari walikuwa pombe tu na ngoma za alaji alaji ziko kichwani

Vipi, ameshakuPM nimshukie?

ukimaanisha mie mentor? wote mie na wewe tumetumia sana hii kitu ndio mana kila mmoja wetu anamuona mwenzie hamnazo, ucjifanye umesahau kjjn.

Nani asahau machalari na mbege? Ote nayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom