HAWA WATU WA GO BET WANA MATATIZO GANI KICHWANI

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,857
Mpaka Wamekuwa kero hawa watu sms mnatuma mpaka 6 kwa saa moja na zote zikiwa na mlengo mmoja hiyi maana yake nini? Na namba zangu kawapa nani? Endapo mtaendelea na hiyi tabia nitaenda kustaki mahakamani kwa kunipotezea muda wa kusoma sms zenu zisizo na msingi
 
Screenshot_20231005-125555.png

Block and report spam. Hivyo tu
 
Back
Top Bottom