Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Jul 16, 2021
1,609
4,776
Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,

Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.

Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani

IMG_20230921_124217_543.jpg
 
View attachment 2756936
Mimi huwa wananishawishi nijiunge nao kila siku but nimewapotezea tu. Ila leo hawajanitumia msg.
 
Umeniwahi mkuu! Mwenyewe nilitaka nililete huku, Message imeingia heading nachungulia "NI UPUMBAVU...." Nikajiuliza nimemkosea nani tena au mimeharibu wapi? 😄 kuangalia kumbe ni hawa wapuuzi! Kweli hali ngumu mpaka wanatumia lugha nzito nzito, Tujiunge tumtafute mwanasheria mzuri hawa wahuni wa GOBET watulipe kwa udhalilishaji huu!

20230921_131554.jpg
 
Back
Top Bottom