Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,036
- 16,499
Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa..
Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana kinyaa? Lile gonjwa vipi labda ni ushamba wangu.
Nijuzeni wakuu wanawezaje?
Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana kinyaa? Lile gonjwa vipi labda ni ushamba wangu.
Nijuzeni wakuu wanawezaje?