Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
Du kweli Bongo tumetoka mbali CBS News pale USIS mi nikikuwa member mzuri sana, hivi kuna anaejua habari za Hilary Ndibalema?. Alikuwa mchezaji wa vijana Bulls enzi hizo!.mhhh sijui lakini kwa jinsi anavyoongea inaonekana alikuwa mjanja mnja huyu halaf si unajua wengine safari zao zilikuwa za kukamatiwa na hivyo hawakuhanithiwa na majitu kama akina aally mrisho au ule upuuzi wa kupelekana Tanga kwenye kambi za kujifunza kufunga kamba
we acha tuuu
anywa you never know lakini watakuja tuu hapa
ebwana hivi uliwahi kuwa member wa USIS katika miaka ya early 90's unajua tena amabo ya TV bongo ilikuwa bado huku Mohammed Farah Aideen alikuwa akipelekana puta na wanyamwezi kule somalia basi USIS walikuwa wanaonyesha 30 minutes video za CBS NEWS ...kama hupajui basi ni pale Tanganyika motors juu ...nadhani mwanakijiji atakuwa anapajua maana yule mwenezu ni mtu wa KLM!