Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE

Mwigulu imekula kwako kaka,hata ulichokifanya juzi kanisani arumeru nchi nzima sasa inajua,ulichokifanya Igunga kiliondoa uaminifu wako kwa wake za wenzako najua umejiandaa kuvunja ndoa za watu,natabiri kifo chako kisiasa ni sasa,maana hata nyumba ndogo ya jamaa ulikutwa nayo chumbani Igunga ukanyamazisha watu kwa fedha, kama unakumbuka nilikuuliza swali hili Igunga ukasema tuliache kwanza jambo hilo maana yule ni mpenz wa boss wako,huyu ni mbali na yule uliyeandikwa sana na waandishi na ukitaka malumbano tunaweka yote hadharani!,na ukitia mguu tu na gari lako T203 BKW linalotembea na mabox ya kondom wallahi natoka Tanga kuja kukuanika hadharani maana wewe ni unaeneza magonjwa,kumbuka Igunga ulinitishia bastola yako this time jiandae kuua

Kumbe mnajuana wakuu; ukimwaga mboga namwaga ugali! Nitaenda Arumeru nikashuhudie kwa macho yangu.
 
Wapi Kamanda Lema? Yaani pamoja na morani zaidi ya 300 kujitokeza kumuwekea ulinzi kamati kuu imeamua kutompa umeneja wa kampeni huko Arumeru? Au ndio wamepima maneno ya washiri na kuamua kuwaheshimu?

Mkuu, kutokuwa kampeni maneja kunamzuia Lema kushiriki kampeni? Nadhani CDM kwa makusudi wameamua kuja kivingine kinyume na matarajio ya wengi, na hiyo binafsi naiona ni mbinu sahihi, kwamba kama wapinzani wa CDM walijiandaa kurusha makombora dhidi ya Lema (kwa Propaganda) sasa inabidi waanze upya, na sasa watarusha nini kwa Natse au Nyerere?
Tutarajie mchuano mkali dhidi ya walio na pesa (CCM) na wasio na pesa (CDM).
 
Kutembea na basatola fedha na kondom.zitakuponza Ruswa zako Alhamisi pale Tengeru zimeligawa kanisa,kama una bisha toa e mail nikutumie picha na sauti,jana jioni ukiwa saa kumi na mbili ukiwa na gari lako umeonekana pia Arumeru kutoa fedha pale kikatiti,najua umeshauriwa kubadili gari lakini waliokushauri hawakukushauri kubadili Tabia.Mwigulu kwa kuwa sasa picha za jana zimeonesha upo Arumeru sasa nitegemee tarehe tisa mchana Arumeru Specific kwa kuupasha uma uchafu wako wa Rushwa na uzinzi,Nyumba mbili ulizopanga za Binafsi Tengeru na USA tyr tunazijua hata Fedha 30 million kwa ajili ya polisi wadogo ni juzi tu umepewa ili uwape,na yule aliyempa Magwanda ya Chadema kugawa ili watakaopewa wafanyae fujo ijulikane ni Chadema nae amekusaliti,bahati nzuri umekiri kuwa kazi ni ngumu...

Mkuu mbona hizi ni za ki inteligensia (classified) halafu unazimwaga hadharani, adui yako ataji comouflage. Ukiendelea hivi utaharibu medani ya kivita. Unaonekana unajua mambo mengi, cool down a bit.
 
Wakuu salaam

Jana kulifanyika uteuzi wa watu wawili, meneja wa kampeni pamoja na msaidizi wake kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Wapiganaji hao ni;

Meneja wa Kampeni atakuwa Ndugu Yohana Israel Natse (MB), msaidizi (naibu) atakuwa Ndugu Vicent Nyerere (MB). Kamanda wa Operation katika uchaguzi huu, kama mjuavyo kwa sababu ya kutangazwa awali ni mpiganaji John Mrema.

Habari juu ya masuala ya mengine ya kampeni na mengine mengi, hasa yanayotokana na maamuzi ya Kamati Kuu iliyokutana Machi 3-4, USA River, Meru, Arusha, yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika mchana huu, Machi 5, 2012, Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam.

Hongereni sana. Hawa ni watu makini sana. Nawatakia CDM ushindi mkubwa. Ndugu zangu wa Arumeru ninawaamini. Sina shaka na ulewa wenu wa siasa za Tanzania. Sina shaka pia na shauku yenu kubwa ya kuleta mabadiliko chini. Wapigeni CHINI hao Magamba mpaka washanhae.
Nabashiri matokeo CDM 89%, Magamba 10%, Others 1% . Hapo vipi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE
Mkuu, kutokuwa kampeni maneja kunamzuia Lema kushiriki kampeni? Nadhani CDM kwa makusudi wameamua kuja kivingine kinyume na matarajio ya wengi, na hiyo binafsi naiona ni mbinu sahihi, kwamba kama wapinzani wa CDM walijiandaa kurusha makombora dhidi ya Lema (kwa Propaganda) sasa inabidi waanze upya, na sasa watarusha nini kwa Natse au Nyerere?
Tutarajie mchuano mkali dhidi ya walio na pesa (CCM) na wasio na pesa (CDM).

I salute you Mkuu. Arumeru ndio mama wa vita yote. Mimi naona matokeo ya Arumeru yataonyesha muelekeo sahihi wa 2015.
 
Wakuu salaam

Jana kulifanyika uteuzi wa watu wawili, meneja wa kampeni pamoja na msaidizi wake kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Wapiganaji hao ni;

Meneja wa Kampeni atakuwa Ndugu Yohana Israel Natse (MB), msaidizi (naibu) atakuwa Ndugu Vicent Nyerere (MB). Kamanda wa Operation katika uchaguzi huu, kama mjuavyo kwa sababu ya kutangazwa awali ni mpiganaji John Mrema.

Habari juu ya masuala ya mengine ya kampeni na mengine mengi, hasa yanayotokana na maamuzi ya Kamati Kuu iliyokutana Machi 3-4, USA River, Meru, Arusha, yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika mchana huu, Machi 5, 2012, Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam.

hapo ni awali tu sijui shuguli itakuwaje makamanda wengine wakitia timu huku, imagine makamanda hawa wakitua!! mnyika, zitto, mdee, kiwelu, owenya, mzee ndessa!!wenje, heche, mpendazoe, mabere! suzan, halafu daktari na kamanda wa anga wakafunga kazi ushindi si utakuwa 100%??
 
Kizanzibar, CCM wameshalipiwa yakheeee...kudadaki,,Walah laadhim hawana lao wana Magamba we...
 
Safi Sana, hii imetulia, ukizingatia Israel Yohana ni Mchungaji, na Wameru 80% kila moja ana kanisa nyumbani kwake ni Kampeni na Injili kwa kwenda Mbele! Mwigulu afiche tu uso wake mbele ya wana wa meru!

Molemo, upo!
 
Ni timu nzuri katika kuvutia wapiga kura watu wazima na wazee. Kura za vijana tayari CDM inazo. Kuhusu Mwigulu natarajia atajiepusha na siasa za kihuni na kibabe kama ilivyokua Igunga. Haya mambo mengine ya uzinzi nadhani ni ya binafsi na wengi wetu hatujakamilika inapofika hii kitu!
 
Waulize Bakwata wapo? sijui CCM itatokea wapi safari hii, maana ilishazoea kubebwa na Bakwata pamoja na shura ya Maimamu!!

Bahati mbaya watu kama hawa ndio wanaokiweka pabaya Chadema mpaka kinaonekana chama kisichokuwa na watu makini.

Ebu msome Mwenyekiti wa Chadema Freeman mbowe.

"Chadema tunawaahidi wakazi wa Arumeru kushuhudia kampeni tulivu kabisa, hatutamtukana mtu wala kupiga wala kejeli"

Tujadili hoja tusijadili kejeli za kidini.
 
Back
Top Bottom