Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

Jamani CDM ni balaa.Numeongea na jamaa yangu yupo kijijini Arumeru akaniambia kwa kikosi kilichotajwa kuongoza kampeni ushindi wa CDM huenda ukavuka asilimia 80%
 
Kumbe chadema mnasimamisha mgombea kwa kutegemea kanisa? Sasa kukitokea uchaguzi kusikokuwa na kanisa mtapataje ushindi? Sasa mmejidhihirisha wazi kuwa nyinyi ni watu wa dini ya kikristo na ukanda wa kaskazini aah! Chademaaaa mnajitokeza wenyewe bila ya bugudhaa tushawajua mtakuja kusikokuwa na kanisa mtalijua jiji ni mtazamo tuu.
kukiwa ni sehemu ya waislam tunampeleka zitto na makanda wake cdm kazi tu!
 
Nasubiri kuckia kama ccm wataitumia ile propaganda yao ya udini kule Arumeru..
 
Kumbe chadema mnasimamisha mgombea kwa kutegemea kanisa? Sasa kukitokea uchaguzi kusikokuwa na kanisa mtapataje ushindi? Sasa mmejidhihirisha wazi kuwa nyinyi ni watu wa dini ya kikristo na ukanda wa kaskazini aah! Chademaaaa mnajitokeza wenyewe bila ya bugudhaa tushawajua mtakuja kusikokuwa na kanisa mtalijua jiji ni mtazamo tuu.
kukiwa ni sehemu ya waislam tunampeleka zitto,prof safari na makanda wengine wengiii cdm kazi tu!
 
Kutembea na basatola fedha na kondom.zitakuponza Ruswa zako Alhamisi pale Tengeru zimeligawa kanisa,kama una bisha toa e mail nikutumie picha na sauti,jana jioni ukiwa saa kumi na mbili ukiwa na gari lako umeonekana pia Arumeru kutoa fedha pale kikatiti,najua umeshauriwa kubadili gari lakini waliokushauri hawakukushauri kubadili Tabia.Mwigulu kwa kuwa sasa picha za jana zimeonesha upo Arumeru sasa nitegemee tarehe tisa mchana Arumeru Specific kwa kuupasha uma uchafu wako wa Rushwa na uzinzi,Nyumba mbili ulizopanga za Binafsi Tengeru na USA tyr tunazijua hata Fedha 30 million kwa ajili ya polisi wadogo ni juzi tu umepewa ili uwape,na yule aliyempa Magwanda ya Chadema kugawa ili watakaopewa wafanyae fujo ijulikane ni Chadema nae amekusaliti,bahati nzuri umekiri kuwa kazi ni ngumu...
 
Mwigula alishaanza kupita mitaa ya meru na kufanya kampeni isiyo rasmi. Mrema yeye yuko ofisini na cdm wanatarajia ushindi.
 
Mkuu, ebu turushie 'clip' hizo za picha na sauti hapa jamvini ili tumchane vizuri huyu mzinzi wa ccm!
 
Mwigula alishaanza kupita mitaa ya meru na kufanya kampeni isiyo rasmi. Mrema yeye yuko ofisini na cdm wanatarajia ushindi.
Mwigulu alishaanza kupita Mapema Meru sio kwa ajili ya kampeni za kisiasa bali kuandaa mtoto wa kumuhudumia kwa kipindi chote cha kampeni, si unajuwa watoto wa kimeru walivyo wazuri?
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni. Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu. But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE
Shukrani mkuu Nchemba angalau siku hizi mnakuja kwa heshima si kama zamani mlivyokuwa mnatamba mtapata ushindi wa kishindo. Ila kwa kukuaarifu tu tathimini huanza kutolewa kutokana na maandalizi ya jeshi na silaha utakazotumia kwenye battle field, huwezi kuwa na gobole uka tathinini utashinda vita mbele ya mwenye mashine gun. Ila inapendeza mnavyoanza kuwa wapole.
 
Wakuu salaam

Jana kulifanyika uteuzi wa watu wawili, meneja wa kampeni pamoja na msaidizi wake kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Wapiganaji hao ni;

Meneja wa Kampeni atakuwa Ndugu Yohana Israel Natse (MB), msaidizi (naibu) atakuwa Ndugu Vicent Nyerere (MB). Kamanda wa Operation katika uchaguzi huu, kama mjuavyo kwa sababu ya kutangazwa awali ni mpiganaji John Mrema.

Habari juu ya masuala ya mengine ya kampeni na mengine mengi, hasa yanayotokana na maamuzi ya Kamati Kuu iliyokutana Machi 3-4, USA River, Meru, Arusha, yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika mchana huu, Machi 5, 2012, Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam.

Wapi Kamanda Lema? Yaani pamoja na morani zaidi ya 300 kujitokeza kumuwekea ulinzi kamati kuu imeamua kutompa umeneja wa kampeni huko Arumeru? Au ndio wamepima maneno ya washiri na kuamua kuwaheshimu?
 
Kutembea na basatola fedha na kondom.zitakuponza Ruswa zako Alhamisi pale Tengeru zimeligawa kanisa,kama una bisha toa e mail nikutumie picha na sauti,jana jioni ukiwa saa kumi na mbili ukiwa na gari lako umeonekana pia Arumeru kutoa fedha pale kikatiti,najua umeshauriwa kubadili gari lakini waliokushauri hawakukushauri kubadili Tabia.Mwigulu kwa kuwa sasa picha za jana zimeonesha upo Arumeru sasa nitegemee tarehe tisa mchana Arumeru Specific kwa kuupasha uma uchafu wako wa Rushwa na uzinzi,Nyumba mbili ulizopanga za Binafsi Tengeru na USA tyr tunazijua hata Fedha 30 million kwa ajili ya polisi wadogo ni juzi tu umepewa ili uwape,na yule aliyempa Magwanda ya Chadema kugawa ili watakaopewa wafanyae fujo ijulikane ni Chadema nae amekusaliti,bahati nzuri umekiri kuwa kazi ni ngumu...
Basi wewe kiboko lakini si umesema uko Tanga hizo sauti umezipataje.
 
Back
Top Bottom