Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

kazi na sala, huwezi kuwa na mgöjwa wa malaria ukampa flagil cdm wamepeleka MERU dozi sahihi wameru ni watu wa dini wanapenda kutulia na kusikiliza kwa makini ninaimani Mh Natse atawapa wanacohitaji
 
Kumbe chadema mnasimamisha mgombea kwa kutegemea kanisa? Sasa kukitokea uchaguzi kusikokuwa na kanisa mtapataje ushindi? Sasa mmejidhihirisha wazi kuwa nyinyi ni watu wa dini ya kikristo na ukanda wa kaskazini aah! Chademaaaa mnajitokeza wenyewe bila ya bugudhaa tushawajua mtakuja kusikokuwa na kanisa mtalijua jiji ni mtazamo tuu.

na wewe ficha upumbavu wako, mtu katoa maoni yake unatoa hukumu ya jumla jumla kwa chama? Kwani Mungi ni msemaji wa chama? Pengine ni shabiki tu au mwanachama wa kawaida, sasa kwa nn ukihukumu chama? Nakwambia huko Meru magamba hayatapata pa kutokea. Turufu yenu ya kutumia udini kule, mahesabu yanu yamegonga mwamba. Nyie endeleeni kukomaa na hao Washili wenu wa ukoo wa Sumari. Mtaambulia kura za ukoo. Hahahahaha...
CHADEMA wametanguliza kikosi Maadili, wkt Magamba wametanguliza Mafisadi na Wazinzi (mwigulu & mkapa)
 
Kumbe chadema mnasimamisha mgombea kwa kutegemea kanisa? Sasa kukitokea uchaguzi kusikokuwa na kanisa mtapataje ushindi? Sasa mmejidhihirisha wazi kuwa nyinyi ni watu wa dini ya kikristo na ukanda wa kaskazini aah! Chademaaaa mnajitokeza wenyewe bila ya bugudhaa tushawajua mtakuja kusikokuwa na kanisa mtalijua jiji ni mtazamo tuu.

wewe umetumwa na mag.amba eeeeeh... Embu kajivue gamb kwanza ndio uje kuchangia
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE
 
Uteuzi wa viongozi watakaoongoza mapambano arumeru ni mzuri sana, Mchungaji Natse na Vicent Nyerere wanauwezo mkubwa wa kulimudu jukwaa na kuhamasisha watu.

Sasa chama kihakikishe kunakuwa na cordination nzuri sana na ya karibu kati yao na Kamanda John Mrema ili kuhakikisha kwamba hakuna namna yoyote ya kulipoteza jimbo hilo.
 
But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE
Mwigulu,

Huo ndio ukweli kwamba kila mmoja atakwenda kutumia ushawishi wake ili kupata ushindi.

Tunachowasihi, hasa wewe binafsi ni kitu kimoja tu, jaribu kuachana na tabia ya kushawishi wapiga kura kwa kuwahonga. Igunga uliandamwa na tuhuma za kutoa rushwa, na sasahivi arumeru mashariki kabla uchaguzi haujaanza rasmi tayari unatuhumiwa kutumia mbinu zile zile za igunga.

Kwakuwa ukweli wa tuhuma hizi wewe ndiye unafahamu ukweli wake, basi jitahidi kujiweka mbali nazo kama si za kweli.
 
Mwigulu imekula kwako kaka,hata ulichokifanya juzi kanisani arumeru nchi nzima sasa inajua,ulichokifanya Igunga kiliondoa uaminifu wako kwa wake za wenzako najua umejiandaa kuvunja ndoa za watu,natabiri kifo chako kisiasa ni sasa,maana hata nyumba ndogo ya jamaa ulikutwa nayo chumbani Igunga ukanyamazisha watu kwa fedha, kama unakumbuka nilikuuliza swali hili Igunga ukasema tuliache kwanza jambo hilo maana yule ni mpenz wa boss wako,huyu ni mbali na yule uliyeandikwa sana na waandishi na ukitaka malumbano tunaweka yote hadharani!,na ukitia mguu tu na gari lako T203 BKW linalotembea na mabox ya kondom wallahi natoka Tanga kuja kukuanika hadharani maana wewe ni unaeneza magonjwa,kumbuka Igunga ulinitishia bastola yako this time jiandae kuua
 
Ushindi wa CDM upo wazi kabisa,mwenye macho haambiwi tazama,mwenye sikio asikie sasa!
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE

Mwigulu nazani wenzangu walisha kukaribisha jf mimi nitakuwa nimechelewa sana lakini kwa kuwa na mshukuru Mungu pia sijachelewa sana naomba nichukue nafasi hii niliyo pewa na Mungu tena siku hii ya leo kukukaribisha jf.

Najua unajua kusoma lakini unajifanya hujui basi picha inatosha kukueleza hali halisi ya hapa jf na kwaujumla hata meru tumechoka na tabia ya kurisishana vyeo ni wakati sasa wawa Tanzania kuamka kufanya maamuzi ya kweli kwani tukiendelea kulala nchi hii itakuwa ya baba na mwana kama ilivyo kwa Januari Makamba, Vita Kawawa, Huseni Mwinyi sasa imekuja kwa Sioyi Sumari.

Tukiendelea kukumbatia ujinga huu wakati wasomi wapo wengi wana siasa wapo wengi itakula kwetu kwanza naomba niseme mimi binafsi nimeichoka ccm kwanza hii ni nchi ya asali na maziwa lakini hatuioni kwasababu ya kupeana madaraka kwa undugu urafiki hata kwakutumia kigezo cha mtoto wa fulani mkaenda mbali zaidi kwa sababu ni hawara wangu sasa hatuwezi kuendelea kuvumilia
 
Cdm tuna kikos kikubwa,na ushindi ni kama kawa hao nimakamanda waukweli tupu magambaa!
 
serikali haina dini ila watu wake ndo wenye dini,wameru si wapagani na kumbukeni kila sehemi ila mila na tamaduni zake,mimi ni miongoni mwa watu tulio bahatika kuishi arumeru kwa muda fulani. Nature ya hawa ndugu zetu ni misingi ya dini,kanisa na hasa kkkt.ni sawa na cuf na uislam,sioni kibaya hapo...asalaaam aleikum...
 
Hakika kikosi hicho kimemstua sana Mwigulu,hasa tofauti za tabia,pole sana,siku ya ufunguzi nakuja na ikibidi nitakupigia simu Mwigulu,Tanga arusha sio mbali,
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE
Nchemba huna ujanja wowote zaidi ya kutumia fedha za walipa kodi kwa mchezo wenu wa kuwahadaa wanyonge wa nchi hii. huna determination yoyote zaidi ya kueneza sera za kuwagawa watu. Igunga ulitumia Hijabu kuwagawa watu, na sasa Uko Arumeru tunakusubiri uje na pumba zako zile zile!
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE
hapo kwenye nyekundu ni Mungu, acha kumtaja Mungu hapa wakati wewe ni bingwa wa michezo michafu kwenye kampeni tukianza na Igunga tulishuhudia madudu uliyokua unayafanya kule, usimtaje Mungu taja Waislamu,Usalama wa Taifa na Wazee wa Mila maana hiyo ndio timu yenu ya ushindi mnayoitegemea, lakini "Mungu???
 
Back
Top Bottom