Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

King hayupo hapo sababu hapendi show-ofu ila thamani ya mapetepete yake yanakadiriwa kufikia bilioni 100!
 
Anavyopenda misifa yule angekua keshairusha fasta page zake zote kwan hatumjui...za mashabik kutunga huwa hazirush
 
Back
Top Bottom