Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

This is quite a big range,,,, 9 to 25. we have lots of big money in between......
 
Wakenya wanatabia ya 'kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa' ...

Dont rely much on them.... they always take us for fools....
Izo ni research zimefanywa sema kinachokuuma kubwa la maadui ndo yumo kwny list
 
Najua hata diamond naye anasoma hii thread maana hata kwake hii ni news! Unafikiri billions 9 mchezo! Hahaaa.
 
Hakuna research kama hizo.......... its a hoax. Numbers dont work that way.. Yani Akothe anamzidi Davido hela......

Basi kama ndivyo then tusibishe watu wakisema Ali Kiba anamzidi hela Platnumz.
Na ww fanya research utuletee list yako ambayo ni ya kweli....yao ndo hiyo
 
Hyo list fake sidhan kama diamond anamzid dbanj...2face..na yule jamaa meneja wa kina Tisa savage...hata demu alioshirikiana na John Makini ana zaid ya bil80....someni wasanii matajir Nigeria tu utaona kibao wamevuka hiz bil9....achen ushabiki
Imewauma eeeh.....domo endelea kukimbiza nwakani list ikitoka uwe namba moja kabisa
 
Hyo list fake sidhan kama diamond anamzid dbanj...2face..na yule jamaa meneja wa kina Tisa savage...hata demu alioshirikiana na John Makini ana zaid ya bil80....someni wasanii matajir Nigeria tu utaona kibao wamevuka hiz bil9....achen ushabiki
D,banj alisha filisika yule
 
Back
Top Bottom