Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

Diamond-Platnumz.jpg

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
 
HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Malizia kua show yake moja no dk 43 kuanzia march 2023 going forward
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Kisiwa kipi? Diamond alinunua plot beach kigambon hicho kisiwa alichonunua ni kipi? Hao africa face zone sources wametoa wikipedia🤣😂
 
Back
Top Bottom