Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

mleta uzi umechanganya mafile hasa hapo kweny heading, hao ni wasanii walioingiza mkwanja mrefu kwa mwaka huu 2016, na sio kama ulivoandika! acha kuwakejeli watu kama d banj and don jazy
 
Diamond hawezi kuwa na net worth ya 9bil,kwa assets zipi alizonazo?
 
Wengine mnajitahidi kuwasahihisha wenzenu eti wamesoma vibaya hawajaelewa kwa hiyo uelewa wenu huo mnaosema walioingiza pesa nyingi ndio hao mapacha wameingiza bl 230 mwaka huu? Yani wameingiza hela nyingi kuliko hata kina jayz?
 
Hiyo ni yako, lkn according to edaily Kenya list yao ni hiyo apo juu....kama vipi na ww njoo na list yako
milard & edaily wanataka kuongeza traffic kwenye blog zao tofauti na hapo hakuna jipya ..
 
Wewe kweli hamnazo hivi kwa mtu mwenye pesa ukimwambia bilioni atashangaa?
Ila maskini wa akili kama wewe unaemini kuna vitu haviwezekani kwa sababu wewe umeshindwa basi kila mtu hataweza kumiliki
Kwa Mtu mwenye pesa bilioni hashangai ndio maana kuna mabilionea wa ukweli,kwa nyinyi ambao hamjui bilioni ni nini ndio maana mnaamini mnavyoambiwa diamond ana utajiri wa bilioni 9,bilioni 9 my ass!!!
 
Kwa Mtu mwenye pesa bilioni hashangai ndio maana kuna mabilionea wa ukweli,kwa nyinyi ambao hamjui bilioni ni nini ndio maana mnaamini mnavyoambiwa diamond ana utajiri wa bilioni 9,bilioni 9 my ass!!!
Hahahahahaaa imenibidi nicheke tu jinsi unavoandika tu utafikiri James delicious......kina Elton john kumbe weng eeeeh
 
List halisi na ya ukweli ni hii
1.YOUSSOU NDOUR-SENEGAL
2.P-SQUARE-NIGERIA
3.D BANJ-NIGERIA
4.KOFFI OLOMIDE-CONGO
5.SEIF KEITA-MALI
6.FALLY IPUPA-CONGO
7.2 FACE IDIBIA-NIGERIA
8.HUGH MASEKELA
9.BANK W-NIGERIA
10.JOSE CHAMELEON-UGANDA.
pesa madafu hatuo
 
Acheni ku-ovarate watu Diamond anapesa gani dhidi ya Jose Chameleon, Fally Ipupa, JB Mpiana ,Koffi Olomide, Don Jazz au Werason? Kwa vitu gani anavyomiliki kuzidi hawa niliowataja !??
 
Back
Top Bottom