Si haba kuona wasanii wetu wakifikisha views million 2 kwa siku na zaidi kuingia number 1 trending the same day kuwashinda hata wanigeria kama kina Burnaboy wizkid Davido etc. Shida inakuja kwenye shows na mapato ya wasanii, wanigeria wametuzidi mno.
Wao ni kawaida kujaza shows tofauti tofauti za nje ya nchi mfano O2 Arena viwanja vya mpira vikubwa etc. Tofauti na huku bongo ni nadra sana kukuta msanii anajaza shows za nje, na ukikuta imejaa basi ujue sio yake ameitwa tu au ameomba appearance. Wao shows zao za nje wanafanyia vyumbani na hazijai.