Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

I totally agree with kipanga sex with a pregnant woman is the best{the heat},we do until the last day unless she is not feeling well.Be careful of the tummy and enjoy yourself.

i heard dat mtoto atazaliwa na sperms zikiwa kichwani,kuna ukweli wowote???
 
Napenda kujua tu kwamba,mwanamke aliyetoka kujifungua tena bila matatizo...anatakiwa akae cku ngapi kabla ya kuanza kugegedana?
 
Ngoja nisikie kwa wajuvi, coz naona sitaweza kumlala mke wangu baada ya kujifungua. Zile harufu...aaah!!
 
Hapa mzee mwenzangu umepitiwa zile harufu zipi?

Mkuu sijapitiwa, obviously mama mwenye kichanga na anayenyonyesha ni tofauti kidogo na mdada/binti ambaye hanyonyeshi. Kuna harufu ya maziwa kwa mfano(especially kama usafi hauzingatiwi vizuri), vinguo vya mtoto.
 
Nilisikia huko mwanza dogo mmoja mke wake alijifungua kwa upasuaji,baada ya siku 5 dogo akalazimisha ale utamu hadi mshono ukafumuka,binti akarudi hospital,binti aliporudi tena hom dogo akalazimisha kula utamu mshono ukapasuka. Majirani ndio waliomsaidia binti kumkimbiza kwenye vyombo vya dola/wanaharakati. Hatari sana.
 
Mkuu hiyo ya mwanza ilitokea mwaka gani...mbona haijawahi kutangazwa mahali popote kama unasema ilifika hadi kwny masufuria ya dola
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom