TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
hamjambo
sWALI----ni sahihi kufanya TENDO LA NDOA na MWANAMKE MWENYE UJAUZITO???
JE kama mwanaume ANA kitambi anashauriwa afanye nini??
Jamani wana JF.Hivi kufanya tendo la ndoa na mwanamke mjamzito hairusiwi?Mke wangu alipata ujauzito miezi saba sasa imepita na tokea mimba iingie,tendo la ndoa lasikia tu kwenye bomba.Yeye anadai hana hamu kabisa na mimi na wala hajisikii kuwa na hisia kabisa.Je nifanye nini ndugu zangu naombeni ushauri manake naona uzalendo sasa waelekea kunishinda.
Mkuu kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke mwenye mimba inategemea afya ya huyo mwenye mimba na Dakatri wake alivyompa ushauri. Ikiwa ana afya nzuri hata awe nayo mimba ya miezi 9 anaweza kufanya tendo la ndoa lakama hana afya nzuri itabidi amuone dakatari wake ampe ushauri mzuri. mkuu Je wewe mke wako au mpenzi wako ana ujauzito?Mkuu A DiscipleMke anapokuwa mjamzito,je aweza kushiriki tendo la ndoa hadi mwezi wa ngapi wa ujauzito wake?
hilo kubwa mkuu umenikumbusha mbali sanaWanaJF,
Wengi wetu tunauzoefu wa kutosha katika suala hilo. Ni ukweli uliowazi kuwa kama haujafanya sex na pregnant woman basi raha ya sex haujaipata kwa kiwango stahili. Kwa wafugaji, sehemu za siri za ng'ombe, mbuzi mjamzito huwa zimetepeta na zinavutia the same kwa mama au dada zetu. Jamani kuleni mzigo huo msiuleee tafadhali hahahhaaaaaaaa! Lakini lazima na yeye apende ndio uta-enjoy.
...lkn pia ni vema ukamshauri mkeo baada ya tendo la Ndoa apate CHAI au maji hasa ili aweze kwenda Haja ndogo kwani inasaidia akienda Haja Ndogo soon after kujamiiana nae ili asafishe NJIA..!!!
wakati wa kujamiiana mwanamke akiwa mimba mbegu huwa haziendi ndani maana cervics huwa imefunga na huwa hairuhusu viu kupenyaisipokuwa kasende na ukimwi vile vile mtoto huwa amefunikwa na membrane mbili ambazo zinnafanya ndani yake kuwa na amniotic fluid ambayo humkinga mtoto na misuguano kutoka nje. vili vile sio kweli kwamba manesi wanalalamika kuwa watoto wanaozaliwa na akina mama wanaojamiana huwa na uchafu , ukitaka kujua hilo nenda na mke wako clinic wakati wa ujauzito utafundishwa kuwa unatakiwa kujamiiana mpaka siku atakayojifungua unless kuwe na tatizo. vile vile akijifungua unatakiwa uanze baada ya siku arobaini na mbili au wiki sita kama hakuna tatizo. mtoto anapozaliwa huwa na utando mweupe ambao sio uchafu ila ni kwa ajiri ya kutunza joto. wanaume ni muhimu kwenda clinic wa wake zenu ili kupata maelezo sahihina sio propoganda na imani ambazo sio kweli[/QUOTE]Nipende kukujulisha tu kuwa njia ya mkojo ya mwanamke ni tofauti na njia ya kuelekea kwenye cervix. Kukojoa kwa mwanamke hakusaidii kusafisha njia ya ukeni.
Medically hakuna madhara and you can go on until when it becomes uncomfortable for both of you.....am not medical expert but kwa jinsi ninavyofahamu kama mama hana complications kati ujauzito wake na yuko willing unaweza kula mzigo hata mpaka siku moja kabla hajaenda labour. Kinachowaogopesha watu kuwa eti mwanamke akienda kujifungua mtoto atatoka na uchafu (sperms) na wengine kutokujua raha au utamu wa kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito. Mazee ni poa kishenzi i did it to my wife mpaka siku 1 kabla ya kwenda kujifungua.
Muhimu ni kuwa mchague style ambayo mwanamke atakuwa comfortable kutokana na ukubwa wa tumbo na pia you need to do it slowly...Man u'll enjoy it believe me....