Hatimaye Mbowe apewa dhamana

I think hakutegemea haya yote!

kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.

At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!

Mzee mchango wako poa lakini katika kazi hasa ya uhakimu hakuna msimamo mkali hiyo ndiyo inaitwa siasa. Mahakamani kuna sheria na taratibu.
 
Wana JF breaking news mbowe ameachiwa huru arusha wenye taarifa kamili tupeni.
 
Kwa nchi inayoishi ki-umatonya, kweli was it worth it kuiingia gharama zote hizo? ulinzi, usafiri wa ndege mpaka Arusha. And dont tell serikali 'inasimamia' sheria maana for the last 6 years Kikwete amekuwa anafanya mazungumzo na wezi wa EPA! Huo ndio uvunjwaji wa sheria maana wezi wanatakiwa wawe keko.

Mkuu hata mimi hii serikali imenishangaza. Mimi nilishasema siku nyingi kuwa kuna power vacuum katika nchi tangu 2005 na tunaishi tu kwa kudura za Mungu since then mpaka hapo tutakapo pata rais.
Kwa rais aliye makini huwezi achia nchi katika mikono ya wahuni halafu tuache ku- question siyo tu your legitimacy lakini pia kiwango chako cha busara. Kama nchi inaongozwa kirahisi hivi basi hata mtoto wa Darasa la kwanza anaweza ongoza Tanzania. Umetudhalilisha sana wananchi wako na unatutia kwenye tension kila wakati ukitutishia nyau. Unataka kuendelea ku-prove kuwa wewe ni mtu wa matani ya pwani hata katika masuala ya msingi.

Ulipojua kwamba Mbowe akifika Arusha anaachiwa kwa nini ulimkamata na kutumia gharama kubwa ya kodi za watanzania kumlisha mahabusu , kumpakia ndege na kutumia mabomu ya gharama kubwa na kupoteza mafuta kwenye magari ya doria kuzua wanamapinduzi wasifanye maandamano.

Umeitia nchi hasara pamoja na Saidi Mwema na timu yako yoote kwa kufanya maamuzi ambayo ni very primitive and rudimentary.
Umetuudhi sana JK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kibaraka wa CCM umesuuzika sana na matukio haya. Mahakimu hao hao waharakishe na kesi za maelfu ya waTanzania wanaooza gerezani kwa kesi zao kutosikilizwa kwa miaka mingi na sio kushupalia kesi ambayo kimsingi ni ya kubambikiza kuhalalisha mauaji nyie CCm mliyofanya Arusha

Kijeba cha roho

Yote mnayasema baada ya Mbowe kulala rumande?? kupelekwa Arusha kisha kaachiwa!!! kuna limitation ya uwezo wenu jamani, tunasisitiza akili kwanza miguvu baadaye.

Muulizeni Mbowe kimemtokea nini alivyolala rumande!!!

Mimi sina la wala le! ninaangalia picha loote

mahakama wababe, at least nimejua sasa!
 
Kakamatwa kwa kukaidi amri ya mahakama, kapelekwa mbele ya pilato, wenzake wamekuja kumuombea dhamana kwa kufuata taratibu zote za kisheria tena kwa adabu zote, kwa kuwa mahakama ni chombo cha haki imewasikiliza.

Kaachiwa kwa dhamana au mkwara tu?
 
Tatizo kubwa la nchi hii Siasa imeingia kila mahali, na isitoshe Wanasiasa wanaingilia sana uhuru wa mahakama , Ikiwa Hakimu kama huyu anafanya kwa utashi wa kisheriani sawa, lakini inapotokea kuwa Hakimu anafanya hivi kuwafurahisha wanasiasa hilo ni jambo baya sana na ni Hatari kwa Usalama wa Taifa. Hizi mahakama zetu kwanza zimejaa rushwa, Wananchi wananyimwa haki zao, serikali inatambua na kila siku inapiga kelele Kuwa mahakama inanuka rushwa lakini bado inaikumbatia, Na hakuna linalofanyika, Mfano ukifika baadhi ya Mahakama dau la rushwa liko wazi hawaangalii chohote wanakueleza kabisa mheshimiwa fulani bila kiasi fulani hajamaliza mambo!!! TAKUKURU inafanya nini?
Tusike mahali tubadilike siyo kila kitu tunashabikia kwa sababu ya UCCM na Uchadema Maslahi ya nchi kwanza.
AMANDLA.
ALUTA!!!
 
Jipe moyo na endelea kujifariji na maneno yako yasiyo na kichwa wala miguu. Hakuna aliyeomba hapa, hakimu ameogopa nguvu ya umma, ameona watu walivyojaa hapa mahakamani ikabd asalimu amri. Asingemwachia aone nguvu ya umma ingefanya nini. Chadema oyeeeee!!

Alikuwa ana tikisa kibeliti
 
Huyu anayesema Mbowe hakufuata taratibu atukumbushe Chenge alichukuliwa hatua gani wakati mahakama inatoa kibali cha yeye kukamatwa huku akiwa kwenye kampeni, tena ananyanyuliwa mkono na ****** akisema 'Chenge Safiii', na wale watu waliopewa flana na kofia wanajibu 'Safiii'.
 
am bit released! watu wa A town turushieni hayo masnapu, kama mlikuwa eneo la tukio. au askari wa chama cha magwanda wamegrab hizo camera zenu?
 
before posting your comments you need to think twice! Remember tz is a developing country with the world sustainability ranked it 152 out of 169 countries of the world. Why all this nonsense costs? I guess you are empty in the head.
hahahahaa! hayupo empty bana, hataki kuchanganya za kwake na za ualimu wake!!
 
Mzee mchango wako poa lakini katika kazi hasa ya uhakimu hakuna msimamo mkali hiyo ndiyo inaitwa siasa. Mahakamani kuna sheria na taratibu.

kweli mkuu, I meant some they dont compromise with situations and personality
 
Gharama ya amani ni kubwa sana, tume sakrifaisi ili kuiweka jamii salama, Huyu ni mtu hatari sana kwa usalama wa taifa letu watumie tu hata ndege ya rais ikibidi.

Kweli mpumbavu ni yule asiyejitambua.
 
ni kweli amepata dhamana sasa hivi. bravooooooo mbowe. pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Source itv breaking news.
 
Back
Top Bottom