Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Tupo hapa mahakamani, tunataka kuihakikishia jeshi la polisi kwamba Chadema siyo chama cha vurugu, bali ccm na serikali yake ndiyo wachokozi. Magesa Mpuuzi tu.
 
Je idadi ya watu ni ya kuridhisha?

watu ni wengi na bado wanendelea kuja naona sugu na mtei wanaingia hakika timu imetimia..kesi inaendelea kwasasa ila siwezi kuripo kinachoendelea huko ndani kwani sijawanikiwa kungia huko ndani hata madirishani watu wamejaa
 
Nipo mahakamani Arusha polisi wamezunguka eneo la mahakama na wafuasi wengi wa Chadema nao wametanda kwa wingi ktk eneo hili.Hali ni shwari kwa sasa hivi
 
Mdhamini wa sasa wa mbowe ni John Bayo diwani wa kata ya elerai baada ya yule kwanza kuwa na kesi na yeye hivyo kesi zilikuwa zina gongana..
 
Kama ni kweli basi hakimu katumia busara kuepusha maafa

Sheria nadhani zipo wazi na zinaeleweka na linapotokea jambo la kusababisha maafa wahusika lazima wawajibike! nadhani hata mheshimiwa sana Mbowe alitakiwa atumie busara.
 
Finaly....dah sirikali hii bana!!inapandisha watu pressure..watu wakija juu wao wanafyata.

Serikali imefyata au ninyi ndio mmefuata sheria kwa kulazimishwa? Wakati mwingine siwaelewi kama mnajifanyisha au mmechanganyikiwa yaani mtu kanyea ndoo tangu lini sijui mmeshindwa kumtoa leo kaombewa dhamana mnashangilia.
 
Back
Top Bottom