figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Last edited by a moderator:
mkuu unajua unanisikia??..mi sipigwi ban. hata wakinipiga zinadunda kama yoyo. vilevile mimi nmeshindikana. wanaonifuatilia nawatoa kwenye mstali yaani nawapoteza mbaya. kama hauamini muulize INNOVATOR, PainKiller, Fung na Paw. chezeya mimi weye. mia

Anakoelekea huyu kijana sio kuzuri kabisaaa,
Nina wasiwasi hii thread kaipost akiwa Triple A
mtotowamjini mbona hata mm na ww twajuana. si ulisema siku ile una niimagine? :tonguez:
We una utani na Erotica:happy: imaginations ni tofauti na kujuana kama nyie hapa...kuna watu mpaka washakutana...mi sijawahi kutana na any of JF members. inabidi kue na house party flani, tatizo ni kua sex engine is soo high inabidi tukutafutie LUKU
so..tukikumbania tunapata nini??privilages zozote??
There is a million things i have always wished to say but am not a fan of bans..so-what do you have to offer??mkono mtupu haulambwi ujue..
Hehehe...hahahaaa...!! Mimi ni antachabo ndugu. Muulize xgirlfriend. Mia
Badili Tabia,
Tupo wangapi?
Tulizana.............