Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Erickb52 kwa taarifa yako siendagi kwenye misuto lakini wa kwako niko tayari hata kuwanunulia sare Zinduna & co na kuaanda msuto mzima,mwanzo-mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Mie nipige ban tu, naona muda wangu mwingi naupoteza huku, nashindwa hadi kumpa chakula cha usiku mume wangu, hamu ya nonino na mume wangu imeniisha muda wote namwaza Erickb52 tu.
 
Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat

Hivi ndo gear uliyoona inafaa kuwapata mademu kupitia chit chat,you can excuse Baba V,amenambia anatumikia ban ya mwezi mmoja!
 
Last edited by a moderator:
huyo aliekupa umods wewe amekosea kutazama kabisa au amekosea hebu aangalie vizuri teh teh teh:mod::mod::mod::party:
 
Asprin naomba nikumbushe leo ni saa ngapi, dakika ngapi, sekunde ngapi, na kama pasaka imepita au bado,? Erickb52 aslam aleykum kha!
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa usingizini nikahisi naota kumbe kweli Erickb52 task yako ya kwanza ni gani?
 
Last edited by a moderator:
Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat

ukiwa mod tu naacha kushinda JF
 
Last edited by a moderator:
mkuu unajua unanisikia??..mi sipigwi ban. hata wakinipiga zinadunda kama yoyo. vilevile mimi nmeshindikana. wanaonifuatilia nawatoa kwenye mstali yaani nawapoteza mbaya. kama hauamini muulize INNOVATOR, PainKiller, Fung na Paw. chezeya mimi weye. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom