Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,409
Happy birthday to yo !:A S-heart-2::A S-heart-2:

Happy birthday to you!

Happy birthday dear Erickb52 happy birthday to yo

How old are you now, how old are you now, happy birthday, happy birthday , happy birthday to you !

Kata keki tule, kata keki tule......happy birthday, happy birthday, happy birthday to you !
:A S-heart-2::A S-heart-2:




Dear Erickb52 , your birthday is as much a celebration for me as it is for you!

I wish you the best of birthdays, the best one ever and may each birthday be better than the last!

Most of all, I hope you will always be as happy as you have made others..............may all your dreams come true not only on your special day but always, all life through!







:A S-heart-2:
:A S 465: Happy birthday :A S 465:







Wapendwa wote wa chit chat kama mnavyojua kuwa mwenzetu Erickb52 kaachwa solemba na mpenziwe Amyner....hivyo basi kwa heshima na taadhima nawaomba wote tuchukue jukumu la kumfanya mwenye furaha katika siku yake hii muhimu.......mimi na lovely husband Vin Diesel tumeamua kuhakikisha kuwa sherehe hii inafana!......kamati zitakuwa kama ifuatavyo;

VINYWAJI watakuwepo hawa wafuatao: Asprin , Kaizer, PakaJimmy, Preta na Blaki Womani ( PJ atakuwa msimamizi kwenye hili kundi )


CHAKULA watashughulikia hawa wafuatao: Kongosho, gfsonwin, cacico, ummu kulthum, charminglady, Remmy na CUTE



MAPAMBO :
afrodenzi, firstlady1, Kipipi, beibe nasty, King'asti na Meritta (plz hakikisheni ukumbi unapambwa mapema iwezekanavyo na unapendeza )


Yummy na mumewe Mr Rocky waliahidi kuleta beseni la kumwogesha mtoto Erickb52.....hili mtamkabidhi Kaunga manake ndie aliyepangiwa kazi ya kumwogesha !

Catherine, Madame B na The secretary nyie mtafuatilia keki kule tulipoweka order na muhakikishe inafika ukumbini kwa wakati !

Bishanga na nitonye watafanya kazi ya ulinzi manake wamepitia mgambo.....plz hakikisheni hakuna atakayezamia kwenye hii shughuli !


HYGEIA , Ndahani na Judgement watakuwepo ukumbini kuhakikisha hakuna mgeni atakayekaukiwa na kinywaji!


Kwa bahati mbaya au nzuri huyu mtoto amezaliwa akiwa na ndevu hivyo basi ni jukumu la Mwanyasi, Mentor na platozoom kuhakikisha kuwa mtoto ameenda saluni !.................mavazi ya mtoto atashughulikia The Finest !

Katavi na BAGAH watakuwepo ukumbini kwa ajili ya kukusanya chupa zitakazokuwa zimeisha vinywaji !



Erotica, AshaDii na Yummy vile wana bed rest hatutawapangia shughuli yoyote !


Rejao , Mwali na Ritz watatuandalia futari kwaajili ya wale waalikwa watakaokuwa wamefunga


Kutakuwepo pia na bendi ya Mashauzi Classic inayomilikiwa na klorokwini pia Zinduna ameahidi kutuletea mchiriku toka zanzibar ! ..... BADILI TABIA na Mamndenyi mtakuwa hai table kumfuta na kumpepea mtoto jasho!
Mtambuzi atatufungulia sherehe na Dark City atatufungia !

Nyani Ngabu ameahidi kutoa gari litakalomleta mtoto ukumbini na The Boss ameahidi kutoa gari la kumrudisha mtoto nyumbani baada ya sherehe !


Ni matumaini yangu kuwa sherehe yetu hii itafana :flypig::flypig::flypig:




Erickb52 we loves you very much !





























 
Last edited by a moderator:
I'm sorry that I can't be there to share your special day with you
But I'm thinking about you and hoping that all of your birthday wishes come true.
HAPPY BIRTHDY! May you live longer and have worth life!
 
Mbona kama nahs kitu flani?
Ila ntaileta.
Azam je?

Unahisi nini ?
John Boko ndiye alietupia kambani bao 3 kumfunga Mnyama , siku Mnyama alipocheza na Azam.
Habari ndo hiyo.
Semea tu, hawa mineno watamrusha handas mwenye shughuli 52, hence fanya iwe siri yetu! Usin'taje sawa eeh ?
Ukin'taja nakulima fine !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom