Salamu Toka kwa Erickb52

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Wapendwa nimewakumbuka sana na nimeona walau niwasalimu kwa pamoja coz mmekuwa adimu sana jukwaani.
Kwanza naomba sweetlady , BAGAH beibe nasty cacico popote mlipo mpokee salamu zangu za pekee
Pia Asprin Kaizer Bishanga Mr Rocky Judgement Smiling Saint Nicas Mtei nawasalimu sana na nawaomba mje jamvini. Remmy The secretary BADILI TABIA najua inawauma kwa kuwatema ila vumilieni mtawapata vizee km Bishanga
Vijana wangu ruttashobolwa Baba V Mentor Katavi Young_Master mtu chake @St paka Mweusi MUSSOLIN Boflo ndetichia Mphamvu Ruhazwe JR Vin Disiel Ronn M platozoom Big Up sana vidume.
Warembo wetu cacico Madame B YNNAH Catherine beibe nasty Kipipi FirstLady1 Smile CUTE FP Zinduna Kongosho charminglady King'asti AmKATRINA ummu kulthum Cantalisia Preta Erotica Kaunga Miss you ladies....! afrodenzi nimemiss your animated pics Rejao naomba umrudishe Cantalisia chap kabla hujapokonywa card ya Chama ( CCM )
Wazee wa Arusha Filipo PakaJimmy Liverpool IGWE Arushaone marejesho salamu kwa wingi
Dada yangu kipenzi Roulette nakumiss sana madame. Mamndenyi na Mtambuzi nawamiss wakwe zangu.
Mwisho ni kwa Mpenzi wangu Amyner nakumiss sana mylove....But im happy uko salama!
Kwa ambao sijawataja nawasalimu saaaaaaana na tuko pamoja sana tu kama Rungu kule jukwaani kwetu wazee!
Hebu njooni hapa niwasalimie jamani nina zawadi yenu!
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuwapata wadada, saa hizi wanatafuta vivazi vya mtoko... Chezea wadada wa JF weye.....!

black-woman-in-her-closet.pf_1.jpg
 
Wapendwa nimewakumbuka sana na nimeona walau niwasalimu kwa pamoja coz mmekuwa adimu sana jukwaani.
Kwanza naomba sweetlady , BAGAH beibe nasty cacico popote mlipo mpokee salamu zangu za pekee
Pia Asprin Kaizer Bishanga Mr Rocky Judgement Smiling Saint Nicas Mtei nawasalimu sana na nawaomba mje jamvini. Remmy The secretary BADILI TABIA najua inawauma kwa kuwatema ila vumilieni mtawapata vizee km Bishanga
Vijana wangu ruttashobolwa Baba V Mentor Katavi Young_Master mtu chake @St paka Mweusi MUSSOLIN Boflo ndetichia Mphamvu Ruhazwe JR Vin Disiel Ronn M platozoom Big Up sana vidume.
Warembo wetu cacico Madame B YNNAH Catherine beibe nasty Kipipi FirstLady1 @Smile CUTE FP Zinduna Kongosho charminglady King'asti AmKATRINA ummu kulthum Cantalisia Preta Erotica Kaunga Miss you ladies....! afrodenzi nimemiss your animated pics Rejao naomba umrudishe Cantalisia chap kabla hujapokonywa card ya Chama ( CCM )
Wazee wa Arusha Filipo PakaJimmy Liverpool IGWE Arushaone marejesho salamu kwa wingi
Dada yangu kipenzi Roulette nakumiss sana madame. Mamndenyi na Mtambuzi nawamiss wakwe zangu.
Mwisho ni kwa Mpenzi wangu Amyner nakumiss sana mylove....But im happy uko salama!
Kwa ambao sijawataja nawasalimu saaaaaaana na tuko pamoja sana tu kama Rungu kule jukwaani kwetu wazee!
Hebu njooni hapa niwasalimie jamani nina zawadi yenu!
Heee...kwa staili hiyo itabidi tu nimrudishe...kadi ya CCM kwangu ndio kila kitu..lol!!
 
Erickb52 umekuja kufuata nini bana
Nilikuwa nishashangilia naanza kumvizia Amyner kumbe unajitokeza bana
Afadhsali lakini umeenda kuwasalimia wale watoto wako kule meatu maana walikuwa wanapata shida sana Mtambuzi mbona umetoa piccha ya mke wangu Dena Amsi bana na mimi nilikuambia ni siri usiitoe
halafu Erickb52 nilimuona Asprin mitaa ya hapa sijui alikuwa anakuja kumkagua nani aise
na Bishanga nasikia anamuwania sana Amyner na alivyo na manoti chezea tajiri wa kihaya wewe utaangushwa soon
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom