Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

mkuu unajua unanisikia??..mi sipigwi ban. hata wakinipiga zinadunda kama yoyo. vilevile mimi nmeshindikana. wanaonifuatilia nawatoa kwenye mstali yaani nawapoteza mbaya. kama hauamini muulize INNOVATOR, PainKiller, Fung na Paw. chezeya mimi weye. mia

Haya tumekusikia!
Pandisha basi huo mlege!
Suruali itaanguka hiyo!
 
Last edited by a moderator:

Anakoelekea huyu kijana sio kuzuri kabisaaa,
Nina wasiwasi hii thread kaipost akiwa Triple A

We mchawi nini? Umejuaje kama kaiandikia hapo?
Coz mi alikwisha niPM kua yuko hapo.
Hapa ni kama tunaongea na Nyagi.
 
mtotowamjini mbona hata mm na ww twajuana. si ulisema siku ile una niimagine? :tonguez:

:happy: imaginations ni tofauti na kujuana kama nyie hapa...kuna watu mpaka washakutana...mi sijawahi kutana na any of JF members. inabidi kue na house party flani, tatizo ni kua sex engine is soo high inabidi tukutafutie LUKU
 
We una utani na Erotica
Umtafutie Luku kiaje?
 
Last edited by a moderator:
so..tukikumbania tunapata nini??privilages zozote??
There is a million things i have always wished to say but am not a fan of bans..so-what do you have to offer??mkono mtupu haulambwi ujue..

phina kwa b52 hapajawahi kuboa hata siku moja...come to ma way achana na ban coz kwako haipo
 
Last edited by a moderator:
Nahs kama nilijipa Ban mwenyewe.
Ila Umbea sunna hata kwenye Maandiko wameandika Erickb52.
 
Bora sijatajwa naendelea na libeneke langu hapa
My wife wangu Yummy uko wapi njoo hutu tule raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom