Hatimae mke wangu kasalimu amri

Huu ni udhalilishaji kabisa!
Mwanaume mwenzangu yani unarudia tena kuandika hayo maneno mkuu!
Kweli unadhani ni ushindi kumnyima haki yake mkeo?
Hadi ana kuomba msamaha unafikiri hajapata suluhu ya kukosa haki yake kwako na kaanza kuipata kwingine na hapo ufikiri kama unachezewa akili?
(Lakini kwa haya wewe una stahili kufanyiwa hivyo)

Siamini kama mwanaume anaweza aka jiona mwamba kwa matendo kama yako.

Kila lakheri.
 
Mpumbavu sana huyu jamaa, halafu hana hata aibu ya kuanika uozo wake hadharani.

dr please....
Usimuamshe aliyelala... anajiona kidume kukesha baa huku wenzie wanakamua.....
Hahaahahaha
halafu anatembea kifua mbele yeye mwanaume....
Loh.... Wakati Wanaume washamaliza hamu ya mkewe hahahahahahahahahahahah uwiiiiiiiiiiii
 
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,

Mapenzi hayalazimishwi, hayanunuliwi wala hayashinikizwi, usichokijua ni kwamba wanawake siku zote katika haya mambo wana akili kuliko wanaume, unaweza ukajiona mjanja kwa yeye kukuomba samahi kumbe mwisho wa siku, mjinga ni wewe, kumbuka wanawake siku zote wanajua wanachokitaka na mara nyingi wanakipata!
 
dr please....
Usimuamshe aliyelala... anajiona kidume kukesha baa huku wenzie wanakamua.....
Hahaahahaha
halafu anatembea kifua mbele yeye mwanaume....
Loh.... Wakati Wanaume washamaliza hamu ya mkewe hahahahahahahahahahahah uwiiiiiiiiiiii
WanaJF na nyie kwa udaku! mmh mmezidi, mmemkandia eti wenzake wanamtungua, wamemaliza, eti hamu imemuishaje na mengine kibao utadhani kuna hata mmoja aliyemuona akiliwa! Mkiombwa mtoe ushahidi kuwa mkewe kaliwa kila mmoja atakimbilia uvunguni! No research no right to speak!
 
Hata mimi hilo ndo linalonishangaza
 
Unajiona mjanjaaa mwenyewe!inhiiiiii mkeo anajua jinsi ya kucheza na akili yako..
 
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,

Kesha tulizwa huko nje......!!
Hamu imemuishia eeeeeh!!1
Hahahaha akili mu-kichwa..........
 
kabisa.....
Hawajui wajibu wao wanaongoza ndoa kwa ubabe.... Hawajui mke ni ua , penzi haliendeshwi kwa ubabe bali mahaba....tazama sasa wajanja washalamba asali yake... Hahahahaaaa

Unachekelea unafikiri mazuri hayo........!!
 
unajisifu wakati wenzio wanakong'ori hadi matumbo.

Maboya yataisha lini mjini?

teh teh teh..usimfanyie hivyo baba Kongosho lakini....presha zisije mpeleka kusikofaa. Na hii siri umefanya jinai kumwambia jamaa anayetangaza ushindi.
 
hahahahahahahahahahahha!ama kwei dunian kuna mabo. hivi huyo mwanamke aweza hata kujidai kwa wanawake wenzie kuwa ana mume? ndoa zimepoteza maana nowdays.
 
Ucjicfu mkuu huyo ni sawa na kuku anakula kwako anaenda kutaga kwa jirani unalo kaka jiphange!!!
 
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,

Alifanya vibaya kumdharau mzaa chema, ila isikupe kichwa ukafikiri kila siku ni asubuhi. Chezea ndoa! LOL
 
WanaJF na nyie kwa udaku! mmh mmezidi, mmemkandia eti wenzake wanamtungua, wamemaliza, eti hamu imemuishaje na mengine kibao utadhani kuna hata mmoja aliyemuona akiliwa! Mkiombwa mtoe ushahidi kuwa mkewe kaliwa kila mmoja atakimbilia uvunguni! No research no right to speak!

mdanganyeni tu mwanaume mwenzenu, akija kushtuka too late....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom