Hatimae mke wangu kasalimu amri

Nimeamini na mimi kuwa wanaume wameisha wamebaki watoto wa kiume

kabisa.....
Hawajui wajibu wao wanaongoza ndoa kwa ubabe.... Hawajui mke ni ua , penzi haliendeshwi kwa ubabe bali mahaba....tazama sasa wajanja washalamba asali yake... Hahahahaaaa
 
kabisa.....
Hawajui wajibu wao wanaongoza ndoa kwa ubabe.... Hawajui mke ni ua , penzi haliendeshwi kwa ubabe bali mahaba....tazama sasa wajanja washalamba asali yake... Hahahahaaaa

Asivyojua yeye anaona kapatiiia...
Mke hapigwi kwa ngumi bana ni timing tu...
Haya ngoja afuate ya mamaake..
 
Huwezi kuwa mwanaume aliyekamilika..
Maana unajisifu ujinga, jambo ambalo mwanaume kamili hawezi kujisifu hadharani.
 
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
mtoto wa mama
 
MTU MZIMA HOVYOOOOOOOOO X 100000000000, Huoni aibu kuweka hii thread hapa ndio maana nilisema ungekuwa kaka yangu ningekupiga vibao
 
wanaume wa dizaini yako huwa nawapenda sana akili nyingi maarifa sifuri:hat:
 
Wanawake wenzangu tutambue kuwa sisi ni watumwa kwa hii mijanaume ya kiafrika hivyo ukijifanya kiburi mbona utapasuka kichwa.Mi NIMEMUACHIA MUNGU SISHINDANI NAO.
 
Nahisi kama mnamuonea hivi...ndio ameweka thread ya kujisifu but hiyo pia inaweza kuwa ni sehemu ya ku-release emotions zake! kawaida binadamu tupo hivyo pengine hata huyo mke wake pia kuna sehemu alienda kujisifu vile vile!

Kuishi vizuri kunajengwa sana na maelewano na kuheshimiana kutoka kwa wote wawili,
 
Nimeona nataka kujibu ndo maana nikajibu.

Ha ha haaa!
Asante kwakuwa umetaka kujibu.
Mi nilitaka kufahamu tu ili nijue comment yako ime-base from which experience.
Asante bana ila naona kama wanawake wanatuzidi ujanja mara nyingi sana.
 
Wadau mmeshamsema sana kasikia na siku nyingine hatarudia tena kumnyima mkewe huduma. Msameheni bure.

HAYA THREAD IMEFUNGWA KWA USALAMA WAKE.
 
Labda kama wataka kufurahisha wana forum ..... lakini kama uloyaandika upo serious... pole sana ... umepitiliza cheo cha uzuzu.....
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom