Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,726
=======Mkuu nadhani hatuwezi kumwita mfungwa kwa kuwa hukumu ilimpa uchaguzi wa kifungo au faini.
Cha muhimu hapo ni kuwa alikutwa na kosa na alihukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita.
Hilo ndilo kikwazo kwa ubunge wake.
Mheshimiwa
Chenge alipewa adhabu ya kifungo au faini, akalipa faini.
Kwa maana nyingine kifungo na faini vina hadhi na uzito sawa.
Unaweza kukiita kifungo kuwa faini au faini kuiita kifungo.
Naendelea kuamini kuwa Chenge yuko kifungoni.