Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,003
- Thread starter
- #41
Watasema kwa nini tuwaige Wakenya?
Ndio maana malaria Tanzania haiishi.....! Kuna siku nilijaribu kupima vituo vya afya vitatu, Cha kwanza niliambiwa na malaria 4, nikaenda cha pili wakakuta malaria 3, nikaenda kingine nikaonekana sina malaria.
MM hao ndio watanzania akili zao sijui zikoje hapo kinachozungumzwa ni juu ya vifaa halafu mtu anakurupuka na kusema watu waache ngono,sijui kama malaria nayo inaletwa na ngono,hapa tatizo ni matumizi ya vifaa na sio nini kifanywe kupunguza magonjwa,watanzania ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi,hasa ufisadi unapojadiliwa watu huwa wakali kweli na kutoa pumba nyingiMkuu, ngono si njia pekee ya maambukizo na je, malaria pia huambukizwa kwa ngono? Maana vifaa vya kupima malaria pia ni vibovu. Hapa issue si ugonjwa ni UFISADI wa kutumia afya za watu, kama vifaa havina maana (kwa mawazo yako), basi serikali isiagize, iagize chakula!
Mkuu, ngono si njia pekee ya maambukizo na je, malaria pia huambukizwa kwa ngono? Maana vifaa vya kupima malaria pia ni vibovu. Hapa issue si ugonjwa ni UFISADI wa kutumia afya za watu, kama vifaa havina maana (kwa mawazo yako), basi serikali isiagize, iagize chakula!
Mzee hili ni suala la dunia. Kenya wamerudisha hivi vifaa juzi!!
Jamani kila mtu anapenda fedha lakini sasa too much, hata maisha ya watu?!! Hawajui hata mama zao watakufa kwa tamaa zao?
MM hao ndio watanzania akili zao sijui zikoje hapo kinachozungumzwa ni juu ya vifaa halafu mtu anakurupuka na kusema watu waache ngono,sijui kama malaria nayo inaletwa na ngono,hapa tatizo ni matumizi ya vifaa na sio nini kifanywe kupunguza magonjwa,watanzania ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi,hasa ufisadi unapojadiliwa watu huwa wakali kweli na kutoa pumba nyingi
mimi ni mdau katika sekta ya afya,vipimo vya malaria alivyovitaja mleta uzi ni aibu kwa wizara ya afya! Hebu jiulize: wagonjwa 518 waliopimwa mwezi Nov.kituoni kwangu ni wagonjwa 3 tu walioonekana wana malaria kwa mujibu wa vipimo hivyo! Ajabu nyingine huyu mfamasia wetu ni mwizi nouma wa vifaa lakini madude haya ya malaria bado yamejaa stoo dalili kwamba hayauziki kwa Wakongo!

wewe ni nesi,daktari,mganga au mpishi hospitalini.maoni yako hayaonyeshi kama wewe ni mtaalamu katika sekta ya afya.
Ni kweli ni vibovu? Jamani tutakwisha
Mwanakijiji
Kipimo sahihi ni watanzania kuelemishwa kuachana na mambo ya ngono tu; elimu ya afya itiliwe mkazo, nchi nyingi duniani zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza maambukizo kwa kutumia afya ya jamii; na viongozi wamekuwa mstari wa mbele kwenye vita hivyo.
Chama
Gongo la Mboto DSM